Breakfast hii mpango mzima

Breakfast hii mpango mzima

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
Faida tupu 1416723260670.jpg1416723298498.jpg tiba mbadala kuanzia hangover mpaka tezi...!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante mshikaj kunikaribisha endelea.Mimi nkishaona prawns stimu za kula zinakatika.
 
Kwa mi huwa nazimiiss sana lakini kosa ni pato langu dogo
 
Watu tunanjaa hapa.hiv nikidogokoa mtasema mimdokozi?
 
Hii ya kuoneshana vyakula mbaya sana, nikiona chakula tu kama ni simu network inakata
 
vyakula vya kidhungu mpwa mi siviwezagi kabisa aisee


hapo niwekee muhogo au viazi vitamu
 
mkuu mimi sishibi kabisa
chapati kuanzia tatu hadi tano ndio nakula asubuhi
 
Asante mshikaj kunikaribisha endelea.Mimi nkishaona prawns stimu za kula zinakatika.

Same here.........twende zetu tukatafute kongoro tunywe supu........tusahau yetu.......
 
Back
Top Bottom