Chrispin trouble reading between the lines....r we now?Sasa mama asiye na jina, ushajua kuna langueji problem sasa mbona unaendelea kumjibu kwa kiblurey? Tumia lugha ya BAKITA labda mtaenda sawa. Wengine tumesoma shule za kata. Mwalimu mmoja fomu wani mpaka fom sirii. Fom foo walimu wawili kwa kuwa wanajiandaa na neshno fom foo B examinations.
Please tuelewe utusaidie kwa kutumia lugha ya Ujamaa na Kujitegemea.
hey Pakawa... asante kwa ur feedback... and I would like to thank every person who contributed in this thread... u are all are amazing ppl...Ni vyema kama utapanga umweleze kwa ana kwa ana, kwamba wakati umefika wa ninyi wa wawili kutokupendana, kwa kumpa sababu kwa nini mmefikia hapo ili kila mmoja wenu kama kuna kasoro ajue namna ya kudeal na hilo tatizo iwapo ataingia kwenye relationship nyingine asirudie makosa. Usiangalie upande wako kwamba wewe ulikuwa perfect na mwenzako alikuwa na kasoro hata wewe lazima kuna mahali ulikuwa unakosea ndiyo maana mkafikia hapo mlipo. Kama ulikuwa humpendi tangu mwanzo kwa nini ulimpotezea mwenzio muda wake na unajua ni kiasi gani utaumiza feelings za mwenzako.
...well said bro!
Mapenzi ni emotional account. Njia pekee ya kuifilisi account ni ku withdraw kidogo kidogo mpaka siku unakuta 'there is no sufficient funds in your account!' ...mnabakia marafiki tu, hata kama wakinafiki!
I just broke up with someone and the last thing she said to me was Youll never find anyone like me again! Im thinking, I should hope not! If I dont want you, why would I want someone like you
I just broke up with someone and the last thing she said to me was Youll never find anyone like me again! Im thinking, I should hope not! If I dont want you, why would I want someone like you
That's a good one....
hahaaa hiyo unavuta ni sigara kali au???
Si ndo hapo, better wank myself than meeting someone with same characteristics as the one I just dumped!
Ohoo bht naona uko na mimi leo. Kwanini wauliza hiyo si Sweet Menthol hiyo au? Maanake ni nyingi mno nimewasha siwezi kumbuka sasa!
How do you break up with someone? U know may be you just dont have the feeling anymore or u never really love them the way they loved u... or whatever reason it is but u wanna break up...
How to do it?
si unajua najali maslahi ya afya ya ubongo wako???
huyo demu wako na yeye bana
sasa ungetaka kama yeye basi usingem-dump!!!
masiki alichanganyikiwa......
wote wako hivyohivyo tu!!! unless awe hakutakiHuyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why I say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
hapa kuna nini tena ?
huyo ana low self esteem na alikuwa anataka kukutisha ili umrudie. I hate desperate chicks like that. That's why i say...women/men are like buses..if you miss one there is another one coming....so keep it moving....
kuachwa kuachwaaaaa
kuachwa ni shughuli pevuu
mbaya zaidi......
Malizia bestlady
weee shem weee .....ingekuwa rahisi hivo afadhali.......