Break news ...... For Your Information | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Break news ...... For Your Information

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Black Jesus, Apr 30, 2012.

 1. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi nandika habari hizi uwamuzi uliofikiwa na wamuzi hakutokuwa na waziri au kiongozi yoyote yule atakae wajibishwa kitakachofanyika ni kuvunja baraza la mawaziri na kuliunda upya,kwa maelezo zaidi kuweni karibu na vyombo ya habari kuanzia sasa.
   
 2. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe ulitegemea jipya ndani ya hii serikali yetu?
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo watakuwa hawajatekeleza maamuzi/maazimio ya bunge na hivyo kura ya kutokuwa na imani na PM inaweza kusimama tena kwa nguvu kubwa. Wacha wafanya mchezo!!!!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [h=2]Break news ...... For Your Information[/h]mkuu hata heading tu inakushinda?..
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Uzushi huu. MoDs kama kawaida jamaa amekuleteeni kazo huyo.
   
Loading...