Michuano ya kombe la Dunia Qatar. Linganisha na michuano ya nyuma

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,169
1,533
Hello wanakandanda wa JF!

Baada ya michuano ya kombe la dunia kuhitimishwa huko Qatar na Argentina kuchukua kombe hebu tufanye flash back kulinganisha na michuano ya 2022 na ya miaka ya nyuma.

Kwa maoni yangu michuano ya 2022 imekuwa na msisimko mkubwa ukilinganisha na ya miaka ya nyuma kuanzia 1998. Qatar pia imeonyesha uwezo mkubwa kwenye maandalizi yote.

Vipi wewe mwenzangu unaonaje michuano ya Qatar ukilinganisha na mingine iliyopita?
 
Nawapa 100%..imeenda vzr kuanzia ujenzi wa viwanja...south Africa tulisikia mamia ya watu wamedondoka kutoka juu wakijenga viwanja ila qatar safety inezingatiwa mnoo hata uwanjani hamna fujo wala ujinga ujinga
 
Qatar wameandaa vizuri sana kuliko mashindano yote kuwahi kutokea labda sababu ya pesa na zama hizi za teknolojia....anayefuata ana KAZI kubwa ya kuandaa zaidi ya Qatar.
 
Kwangu mimi Qatar imevunja rekodi, kwanzia ubora wa viwanja, safety na ustaarabu pia umechangia kwa kiasi kikubwa sana... ndio maana vichaa na wendawazimu hawakupata nafasi...

Vamooooos Laa Seleccion 🇦🇷🏆🏆🏆💪🏽
 
Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.

Budweiser kama wadhamini hawakuteñdewa haki.

Heshimu taifa la mtu.. labda kama timu lako halikua na mashabiki wazimu, sisi wana-SELESSION🇦🇷🏆🏆🏆 Mashabiki wetu wamelitendea haki soka, uwanja ulijaa kama kawa without pombe pombe and bangi bangi..

Argentina 🇦🇷🏆🏆🏆💪🏽
 
Kwenye starehe usimpangie mtu bia anywe wapi na SAA ngapi, viwanjani pombe walizuia ndio maana hukuona wale mashabiki wenye wazimu wa soka.

Budweiser kama wadhamini hawakuteñdewa haki.

Heshimu taifa la mtu.. labda kama timu lako halikua na mashabiki wazimu, sisi wana-SELESSION🇦🇷🏆🏆🏆 Mashabiki wetu wamelitendea haki soka, uwanja ulijaa kama kawa..

Argentina 🇦🇷🏆🏆🏆💪🏽
 
Nawapa 100%..imeenda vzr kuanzia ujenzi wa viwanja...south Africa tulisikia mamia ya watu wamedondoka kutoka juu wakijenga viwanja ila qatar safety inezingatiwa mnoo hata uwanjani hamna fujo wala ujinga ujinga
Mkuu kweli nawe umeziba masikio hukusikia walivyokuwa wanatendewa immigrants? Anyway south na Qatar Africa tulifanya poa sana
 
Mkuu kweli nawe umeziba masikio hukusikia walivyokuwa wanatendewa immigrants? Anyway south na Qatar Africa tulifanya poa sana

Ni mlevi na malayas tu ndio watayaona mashindano haya hayafai na hayana maana.. kwa sisi tusio walevi na ujinga kama wote tutayaona mashindano haya ni bora kuwahi kutokea.. hivi Qatar utalinganisha na south afrika! Nini tumejifunza kutoka kwao!

Back
Top Bottom