Brazil yaisamehe Tanzania deni la Shilingi Bilioni 445

Brazil yaisamehe Tanzania deni la Shilingi Bilioni 445

"Tunao uwezo wa kuwalipa hivyo vi bilioni vyao.Sisi sio nchi ya kutegemea vi msamaha kutoka kwa wahisani"
 
Hahaaa kiki ya pikipiki hiyo,marais kibao wanachapa kazi kuliko huyo halafu yeye ndio asemehewe deni.hizo comedy zinachosa pelekeni bongo movie

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana Magufuli, ni kama enzi za mfalme Selemani, watawala wa enzi hizo walimpelekea zawadi nyingi kwa sababu mtendaji wa kazi zake nzuri, naiona Tanzania mpya yenye maziwa na asali.
 
Kwa mwaka huo lilipokopwa hilo deni, kama ulikuwa umezaliwa basi na wewe ulikuwa CCM, ulishiriki kukopa kama Nchi!!

KUKOPA NILISHIRIKI, KUSAMEHE NA KUSIGN KUSAMEHEWA NAKATAA KUSHIRIKI
 
Duh tuko vizuri toka 1979 hadi leo tulikuwa hatujawapa akina Neymar cha kwao. Mbona sasa zile za bodi ya mikopo serikali inadai kwa nguvu wakati na yenyewe inashindwa kulipa kwa wakati hadi inaonewa huruma
 
Ukiwa mpinzani akili yako haiwezi pata fahamu mpaka umeshika dola na hakuna mtawala anayeongoza kwa maoni ya mpinzani wake akafikia malengo.
 
Hutaona humu wale wachawi wanaombea nyumbu yao iwake moto ili ndoto zao zitimie
 
Dah ila bendera ya Brazil inamvuto sana jameni
 
Back
Top Bottom