Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Serikali Brazil imesamehe Tanzania deni la jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 203 ambazo ni sawa na fedha za Kitanzania Shilingi Bilioni 445.
Deni hilo lilitokana na mkopo uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro-Dodoma mwaka 1979 pamoja Riba.
Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Emmanuel Nchimbi amesema kuwa anishukuru Serikali ya Brazil kwa kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli za kujenga uchumi imara wa Tanzania.
Naye Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Brazil Guilheme Laux amsema kuwa Wamefungua rasmi milango ya ushirikiano wa kifedha na kibiashara iliyokuwa imefungwa kutokana na Deni hilo.
Hatua hii itawezesha Makampuni ya Brazil kuruhusiwa kukopa katika Benki za Brazil kwa ajili ya kutekeleza miradi nchini Tanzania.
Pia Serikali ya Tanzania inaruhusiwa rasmi kuanzisha majadiliano ya miradi mipya ya maendeleo