Tatizo wabongo mna akili kama za kuku, rahisi mno kusahau na kubebwa na upepo wa matukio. Mchakato wa serikali ya Brazil kusamehe hili deni umeanza mwaka 2010 baada ya Ziara ya aliyekuwa rais wa Brazil wa wakati huo, Da Silva wakati wa serikali ya KIKWETE na Kikwete akaliweka wazi katika moja ya hotuba zake (Rekodi zipo) leo mchakato unakamilika baba MASIFA anajichukulia point na wajinga vigelegele chekwa.Itakuwa wameridhishwa na utendaji wa jemedari magufuli
Hapa kazi tu
[quote uid=384465 name="ndege JOHN" post=23493263]Itakuwa wameridhishwa na utendaji wa jemedari magufuli
Hapa kazi tu[/QUOTE]
Tatizo wabongo mna akili kama za kuku, rahisi mno kusahau na kubebwa na upepo wa matukio. Mchakato wa serikali ya Brazil kusamehe hili deni umeanza mwaka 2010 baada ya Ziara ya aliyekuwa rais wa Brazil wa wakati huo, Da Silva wakati wa serikali ya KIKWETE na Kikwete akaliweka wazi katika moja ya hotuba zake (Rekodi zipo) leo mchakato unakamilika baba MASIFA anajichukulia point na wajinga vigelegele chekwa. Huyu atasamehewa na nani kilaza wa demokrasia.Safi sana Magufuli, ni kama enzi za mfalme Selemani, watawala wa enzi hizo walimpelekea zawadi nyingi kwa sababu mtendaji wa kazi zake nzuri, naiona Tanzania mpya yenye maziwa na asali.
[quote uid=384465 name="ndege JOHN" post=23493263]Itakuwa wameridhishwa na utendaji wa jemedari magufuli
Hapa kazi tu[/QUOTE]
Tatizo wabongo mna akili kama za kuku, rahisi mno kusahau na kubebwa na upepo wa matukio. Mchakato wa serikali ya Brazil kusamehe hili deni umeanza mwaka 2010 baada ya Ziara ya aliyekuwa rais wa Brazil wa wakati huo, Da Silva wakati wa serikali ya KIKWETE na Kikwete akaliweka wazi katika moja ya hotuba zake (Rekodi zipo) leo mchakato unakamilika baba MASIFA anajichukulia point na wajinga vigelegele chekwa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sifa kwa hili ziende kwa serikali ya KIKWETE na sio Magufuli.Habari nzuri
Naamini imesababishwa na wao kuona hawamu hii ni tofauti na zilizopita na inajali wananchi na maendeleo.
Magufuli oyeeeee
Ndio deni hili hili mkuu, jitihada za Kikwete. Sema serikali ya Brazili ililiweka kwenye mchakato tangu wakati huo, leo mchakato umekamilika baba Masifa kachukua point kiulaiiini.Kwani hukumbuki ,tulishasamehewa Na hawa mwaka 2009 kwa Deni ALILOACHA Nyerere la kujenga Barabara ya dar to morogoro?

Tatizo wabongo mna akili kama za kuku, rahisi mno kusahau na kubebwa na upepo wa matukio. Mchakato wa serikali ya Brazil kusamehe hili deni umeanza mwaka 2010 baada ya Ziara ya aliyekuwa rais wa Brazil wa wakati huo, Da Silva wakati wa serikali ya KIKWETE na Kikwete akaliweka wazi katika moja ya hotuba zake (Rekodi zipo) leo mchakato unakamilika baba MASIFA anajichukulia point na wajinga vigelegele chekwa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sifa kwa hili ziende kwa serikali ya KIKWETE na sio Magufuli.[/QUOTE][quote uid=384465 name="ndege JOHN" post=23493263]Itakuwa wameridhishwa na utendaji wa jemedari magufuli
Hapa kazi tu
hakuna mzungu mjinga namna hiyo wala pesa yaie haiendi kifala hivyo
tega sikio fatilia utaona nini kinafuata

Tatizo wabongo mna akili kama za kuku, rahisi mno kusahau na kubebwa na upepo wa matukio. Mchakato wa serikali ya Brazil kusamehe hili deni umeanza mwaka 2010 baada ya Ziara ya aliyekuwa rais wa Brazil wa wakati huo, Da Silva wakati wa serikali ya KIKWETE na Kikwete akaliweka wazi katika moja ya hotuba zake (Rekodi zipo) leo mchakato unakamilika baba MASIFA anajichukulia point na wajinga vigelegele chekwa. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sifa kwa hili ziende kwa serikali ya KIKWETE na sio Magufuli.[/QUOTE][quote uid=384465 name="ndege JOHN" post=23493263]Itakuwa wameridhishwa na utendaji wa jemedari magufuli
Hapa kazi tu
TufahamisheHapa kuna kitu...