Brazil yaisamehe Tanzania deni la Shilingi Bilioni 445

Brazil yaisamehe Tanzania deni la Shilingi Bilioni 445

..there is no free lunch.

..inawezekana kabisa Brazil wamepata NJIA MBADALA ya kurudisha fedha zao.

..kwa mfano sasa wanaweza kutulazimisha kutumia makampuni ya Brazil kutekeleza miradi mbalimbali hapa nchini.
Yes ...ndio maana ya negotiations ....lazima pawe na mutual benefits ....hapo ni kuipongeza serikali kufanikisha hili ...
 
Yes safi sana mzee watanyooka tu wenye kuiba wataacha na wenye madeni watasamehe coz hilo deni hapo ni riba tupu walikua wanatuibia tu pengine deni lenyewe tulishalipa siku nyingi
 
It's always about "jitihada za magufuri kujenga uchimi wa viwanda" isn't it? , my guess is if you do happen to leave that line out of your little speech the next thing is your ass being fired.
 
No free lunch.... Kuna free Air na yenyewe ukishindwa kuilipia una katiwa pumzi.....
 
Tukidaiwa hatusemi..tukisamehewa tunasema
 
hakuna mzungu mjinga namna hiyo wala pesa yaie haiendi kifala hivyo

tega sikio fatilia utaona nini kinafuata

Utajiju
Usiniandikie fikra za chini yaani zaki - mimi... watu kama ninyi mnaboaaaaaa
 
Mungu tusaidie..

INATISHA...

Yani hadi BRASIL walishatuoa..!!!??
 
Mi tayari washanilipia kwaiyo nitolewe katika orodha

huwezi jua
 
Hii Serikali dhalimu ya zero brain hili wanatangaza lakini mkopo wa $500 million sawa na shilingi 1.2 trilioni wanafanya siri!

Serikali Brazil imesamehe Tanzania deni la jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 203 ambazo ni sawa na fedha za Kitanzania Shilingi Bilioni 445.

View attachment 590186

Deni hilo lilitokana na mkopo uliotolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Morogoro-Dodoma mwaka 1979 pamoja Riba.

Balozi wa Tanzania nchini Brazili, Emmanuel Nchimbi amesema kuwa anishukuru Serikali ya Brazil kwa kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli za kujenga uchumi imara wa Tanzania.

Naye Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Brazil Guilheme Laux amsema kuwa Wamefungua rasmi milango ya ushirikiano wa kifedha na kibiashara iliyokuwa imefungwa kutokana na Deni hilo.

Hatua hii itawezesha Makampuni ya Brazil kuruhusiwa kukopa katika Benki za Brazil kwa ajili ya kutekeleza miradi nchini Tanzania.

Pia Serikali ya Tanzania inaruhusiwa rasmi kuanzisha majadiliano ya miradi mipya ya maendeleo
 
mange kimambi ameisikia hii?
 
Back
Top Bottom