Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,667
- 11,760
Nami najazia. TOPE HASWAAAA!wakishinda wanaingia mpambano wa final.,naona tope kchwani
Nami najazia. TOPE HASWAAAA!wakishinda wanaingia mpambano wa final.,naona tope kchwani
kuna tetesi kuwa ile mechi tulikuwa tunachezeshewa play station, kuna mchina alihack tv broadcast zote, hivyo fifa watafanya press conference leo kuipa dunia matokeo sahihi ya mechi.
Ni ajabu timu kumbe ilikuwa imebebwa na mtu mmoja;
Wapo wapi hawa wachezaji maarufu?
Si mngekuwa hata hapo uwanjani kutia hamasa?
![]()
![]()
Kwi kwi kwi kwi...Jana wachezaji wote wa Brazil walikuwa kama wamewehuka uwanjani....Niliwaonea huruma sana..
Tuombe Munguargentina wasipatwe na majanga kama ya Ndugu zao Brazil..
Na huu ndi ukweli,, kuna timu nyingi tu zina wachezaji wakongwe, hii inasaidia motivation ya wachezaji wachanga Gaucho bado ni mchezaji mzuri nadhani angeweza kutumika kuwamotivate hawa wengine but shits hapen!!
Mkuu, hata hao "wachanga" Scolari aliowachagua bado kaacha vifaa vingine vizuri tu. Hivi kwa mfano yule mtoto Coutinho wa Liverpool unaweza kumwacha kwenye line-up badala yake ukawaweka Fernandinho au Paulinho???
Scolari alidhani "msuli" unaweza kubeba world cup badala ya "kichwa" tulichokizoea kwa Brazil miaka yote!
Aibu hii FA ya Brazil imeitengeneza yenyewe....

Bado wana game moja mkonon nyie, mpira hamjui nn?
Sent from my iPhone using JamiiForums.