Brazil 'kuchafuka' punde

Brazil 'kuchafuka' punde

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Waandamanaji huenda wakarudi njiani kufuatia kipigo cha timu yao ya taifa cha saba kwa moja toka kwa Wajerumani. Wachambuzi wa mambo walitazama mafanikio ya timu ya taifa ya Brazil kama sababu ya kunyamazisha maandamano.

Hali yaweza kuchafuka kufuatia kipigo kikali cha leo...
 
Badala ya kujikalia ndani kuuguza maumivu...waandamane ili iweje sasa?
 
Bado wana game moja mkonon nyie, mpira hamjui nn?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Sent from my iPhone using JamiiForums.í-½í´©í-½í´¨

wakishinda wanaingia mpambano wa final.,naona tope kchwani
 
Mwenye tope n nan kat yangu mm na ww, unaulza swali hata bibi ako muuza kei anaweza jibu mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Waandamanaji huenda wakarudi njiani kufuatia kipigo cha timu yao ya taifa cha saba kwa moja toka kwa Wajerumani. Wachambuzi wa mambo walitazama mafanikio ya timu ya taifa ya Brazil kama sababu ya kunyamazisha maandamano.

Hali yaweza kuchafuka kufuatia kipigo kikali cha leo...

Saba saba
 
Attachments

  • 1404881114406.jpg
    1404881114406.jpg
    9.6 KB · Views: 869
kipigo cha goli 7 si mchezo.lazima watapata taharuki.
 
Hata isipochafuka lakini itawasaidia kujipanga upya..
mpira wa kushambulia shambulia bila kulinda goli vizuri una hasara sana..

bila shaka tumeona faida za kupaki basi..:A S-eek:

Waandamanaji huenda wakarudi njiani kufuatia kipigo cha timu yao ya taifa cha saba kwa moja toka kwa Wajerumani. Wachambuzi wa mambo walitazama mafanikio ya timu ya taifa ya Brazil kama sababu ya kunyamazisha maandamano.

Hali yaweza kuchafuka kufuatia kipigo kikali cha leo...
 
Pole yao aisee
tunawaombea amani na mshikamano ktk kipindi hiki kigumu
 
Hii njano na kijani ya Brazil inanikumbusha CCM, nao kipigo chao mikononi ya UKAWA very soon.
 
Ni ajabu timu kumbe ilikuwa imebebwa na mtu mmoja;

Wapo wapi hawa wachezaji maarufu?
Si mngekuwa hata hapo uwanjani kutia hamasa?
kakas.jpg

ronaldo.jpg
 
Back
Top Bottom