Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

⚡️Bolivia: Former Bolivia President Morales stands in solidarity with Brazilian President Lula da Silva: Being declared persona non grata by a genocidal government that slaughters children is an advantage.
 
Wanaukumbi.

Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.

Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.

Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake walimfokea na kumtolea kauli ya kalipio rais wa Brazil baada ya kuwaambia waache kuuwa watoto Gaza.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1759637758547534123?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Brazil hawakumfukuza balozi wa Israel. NI uongo.Israel walimuita balozi wao baada ya kuchukizwa na maneno ya Lula da Silva.
 
Umeamdika gazeti refu ulichoandika pumba tu Brazil hawaitaji kupangiwa cha kuongea hawataki kuwa wanafiki ndiyo maana wamefukuza balozi wa Israel kulinda heshimu ya nchi yao Israel ni nani anatakq kupangia kila nchi cha kuongea Waziri wa Israel mpuuzi mmoja anamwambia Rais wa Brazil aombe msamaha😂😂

Taifa lina watu milioni 216,422,446 liombe msamaha kwa wapuuzi wanapigana vita na watoto.

Baba yao Marekani hawezi kumuomba msamaha.
Shida mnajiita ufahamu, nakuapia
Umeamdika gazeti refu ulichoandika pumba tu Brazil hawaitaji kupangiwa cha kuongea hawataki kuwa wanafiki ndiyo maana wamefukuza balozi wa Israel kulinda heshimu ya nchi yao Israel ni nani anatakq kupangia kila nchi cha kuongea Waziri wa Israel mpuuzi mmoja anamwambia Rais wa Brazil aombe msamaha😂😂

Taifa lina watu milioni 216,422,446 liombe msamaha kwa wapuuzi wanapigana vita na watoto
Baba yao Marekani hawezi kumuomba msamaha.
Shida yako unafikiri haya mambo ya Israel na Palastina yameanza leo, kipindi wayahudi wanaingia kwa wingi miaka ya 1948 - 70 , waarabu walipambana sana tena kwa kuungana ili kuwasaidia wapalestina, lakini walishindwa, myahudi amewekeza sana kwenye technology, financial market, mining, na kila nchi za Ulaya, wayahudi wamejiimarisha sana, hata huko American ya kusini wameyashika mataifa ya huko, sasa leo Israel with high technology in the world ndo wanyamanzishwe na Hamas? Huko nyuma yalishatokea matukio ya kutisha, black September, Savona attack, aircraft hijack, suicidal bombing, kufungwa kwa balozi na uhusiano wa nchi zote za middle East, walifunga kila aina ya ushirikiano, ikafikia hatua Israel akahama hata ukanda katika mambo ya michezo, zamani alikuwa anashirika mpira upande wa Asia, akatengwa akaamua kuhamia Ulaya na kuanza kushiriki michezo upande wa Ulaya mpaka leo.
Sasa leo Israel yenye nuclear hamasi na rocket zake wataweza kuwafukuza middle East? Wapalestina wawe wapole waombe UN isimamie tu kuundwa jamuhuri ya Muungano wa Israel na Palestina na waache misimamo yao mikali ya kidini.
 
Leo unafuraha kwa kuwa unapata kinywaji chako pendwa. Lete habari nyingine sheikh wangu. Waisrael nasikia wameisha wote kule
BREAKING| ICJ hearing for an advisory opinion on legal consequences of occupation of the West Bank, Gaza and East Jerusalem, starts with South Africa, who present their case against Israel.
 
Kwani kuna Waisrael wamebaki Gaza? Si walishakufa wote? Walijichimbia kaburi. Maana nasi sasa tunatapa tapa. Tunaokota okota vitaarifa vya kutufariji. Kinyonge..... Tuendeleeni kukomaa. Kupambana. Hakuna kulia lia.
 
Huko Brazil ndio kwenye dini ya ukatoliki sasa wanavunja uhusiano na israeli sasa njoo kwa hawa wavimba macho wa hapa tandahimba wanaotetea taifa la mungu.
 
Ulokole na ukatoliki ni vitu viwili tofauti, wakatoliki hawana binadamu wakuitwa taifa teule mitume na manabii, ndo maana huwezi Kuta wanaishobokea israel. Ukatoliki unajengwa na msingi ya kumtegemea Mungu na sio binadamu kama vile manabii na mitume
 
Shida mnajiita ufahamu, nakuapia

Shida yako unafikiri haya mambo ya Israel na Palastina yameanza leo, kipindi wayahudi wanaingia kwa wingi miaka ya 1948 - 70 , waarabu walipambana sana tena kwa kuungana ili kuwasaidia wapalestina, lakini walishindwa, myahudi amewekeza sana kwenye technology, financial market, mining, na kila nchi za Ulaya, wayahudi wamejiimarisha sana, hata huko American ya kusini wameyashika mataifa ya huko, sasa leo Israel with high technology in the world ndo wanyamanzishwe na Hamas? Huko nyuma yalishatokea matukio ya kutisha, black September, Savona attack, aircraft hijack, suicidal bombing, kufungwa kwa balozi na uhusiano wa nchi zote za middle East, walifunga kila aina ya ushirikiano, ikafikia hatua Israel akahama hata ukanda katika mambo ya michezo, zamani alikuwa anashirika mpira upande wa Asia, akatengwa akaamua kuhamia Ulaya na kuanza kushiriki michezo upande wa Ulaya mpaka leo.
Sasa leo Israel yenye nuclear hamasi na rocket zake wataweza kuwafukuza middle East? Wapalestina wawe wapole waombe UN isimamie tu kuundwa jamuhuri ya Muungano wa Israel na Palestina na waache misimamo yao mikali ya kidini.
Shida mnajiita ufahamu, nakuapia

Shida yako unafikiri haya mambo ya Israel na Palastina yameanza leo, kipindi wayahudi wanaingia kwa wingi miaka ya 1948 - 70 , waarabu walipambana sana tena kwa kuungana ili kuwasaidia wapalestina, lakini walishindwa, myahudi amewekeza sana kwenye technology, financial market, mining, na kila nchi za Ulaya, wayahudi wamejiimarisha sana, hata huko American ya kusini wameyashika mataifa ya huko, sasa leo Israel with high technology in the world ndo wanyamanzishwe na Hamas? Huko nyuma yalishatokea matukio ya kutisha, black September, Savona attack, aircraft hijack, suicidal bombing, kufungwa kwa balozi na uhusiano wa nchi zote za middle East, walifunga kila aina ya ushirikiano, ikafikia hatua Israel akahama hata ukanda katika mambo ya michezo, zamani alikuwa anashirika mpira upande wa Asia, akatengwa akaamua kuhamia Ulaya na kuanza kushiriki michezo upande wa Ulaya mpaka leo.
Sasa leo Israel yenye nuclear hamasi na rocket zake wataweza kuwafukuza middle East? Wapalestina wawe wapole waombe UN isimamie tu kuundwa jamuhuri ya Muungano wa Israel na Palestina na waache misimamo yao mikali ya kidini.

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1759951484106526896?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
We jamaa unaandika gazeti halafu uharo mtupu.
Hao wayahudi 1946 waliwahi kufanya attempt kupindua mamlaka ya British Palestine Mandate Jerusalem wakazuiliwa na askari wa Palestina.
1947 Palestina ili ipate uhuru ilikubali kugawa ardhi maana wayahudi walikuwepo kabla ya 1947 .
Ili kuondoa utata wa wayahudi waliopo na wanaokuja toka uhamishoni na kupata uhuru walikubali ardhi igawanywe.
1948 Palestine ikiwa inahangaika kutambulika kuwa taifa hata JESHI HALINA chini ya Yasser Arafat Israel ikaanza expansion of jews settlements kinguvu.
Na mataifa makubwa yakapuuza muswada wa Palestina kuwa nchi.
Hapo ndipo waarabu walipokasirika na wao ku retaliate.
Israel pasi na USA,UK,FRANCE,GERMANY SIO KITU NI GALASA.
Mpaka sasa ANAPOKEA FEDHA NA SILAHA TOKA USA.
Amewekeza au kawekezewa??!!
Na kama asingekua anapewa msaada Hamas ingemuaibisha vibaya zaidi ya hapa,maana katumia silaha zote bado nuclear tu.
 
Brazil hawakumfukuza balozi wa Israel. NI uongo.Israel walimuita balozi wao baada ya kuchukizwa na maneno ya Lula da Silva.
Huyo balozi kashapigwa ban inamaana hatoruhusiwa kurudi Brazil.
Hiyo ni sawa sawa na kufukuzwa maana umepigwa katazo kurudi ulipotoka.
 
Hii Vita itawaonesha wote wanaotaka kufutika kwa Taifa la Israel... na wote watashindwa.. Kuna nchi zingine zinawaogopa Waislam hahahaha Wakati Israel anapiga yeyote... na kelele zikizidi sana Arabs wote watafurumushwa na hasara itakuwa kwa Raia waarabu wa Israel ambao kila siku wanasema uzushi wa news nje na ya Israel hata wao unawashangaza yaani full uongo... Tizama Kibabu kile kinachokaribia kujifia kinasema Israel inafanya Genocide Gaza kama Manazi hata difinition ya Genocide hakijui even idadi tu ya raia wa gaza hata wakifa wote haifikii idadi ya wayahudi waliouliwa na Hitler.. Israel walitakiwa wakipuuze tu.. Majuzi tu raia wa Brazili wameokolewa na Makomandoo wa Israel kipo kimya... kipuuzi kile... kishajilaani tayari chenyewe tunaiombe laana isiende kwa raia wa Brazil werevu.. hivi unaogopaje Waislam walikutangazia kuwa wewe ni adui yao kwa amri ya Allah na Mudy?
 
Huyo balozi kashapigwa ban inamaana hatoruhusiwa kurudi Brazil.
Hiyo ni sawa sawa na kufukuzwa maana umepigwa katazo kurudi ulipotoka.
Lugha inakusumbua namna hiyo?Mtu ambaye aliondoka kwa mipango ya nchi yake baadaye utadaije umemfukuza?Ungeeleza kwamba amekatazwa/kuzuiwa asiingie tena Brazil ungonesha uelewa.
 
Lugha inanisumbua mimi au wewe??
Kuzuiliwa is synonymously na kufukuzwa.
Je Israel ilipanga kutokumrudisha balozi wao Brasilia??
Jibu hapana,ila suala la Brasilia kumpiga marufuku ni sawa na kumfukuza yani is synonymously.
 
Back
Top Bottom