Bravo Joyce Ndalichako

kama ni kweli hii safi saana.
 
kafiri hata ukijidai kuvaa kanzu na kashda tunakutambua tu!

... Hata weye ni kafir kwan unatembea na kinyesi tumboni pa1 na mzigo wa uznz, unafk na chuk za kjnga, muuaji mkbwa we!
 
Kweli huyo mama kafanya vzur, maana katekeleza azma ya baraza la maaskofu. Una haki ya kumpa hongera

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Siku zote wakuu wa BMT ambao
wapo madarakani huwa hawakubali kirahisi kuwa mtihani ume leak, kwa
sababu ni kashfa kwao na wanaweza kutakiwa kujiuzuru, hivyo wanatafuta
mbinu nyingine za kurekebisha kimyakimya.

miaka mitihani ilipovuja ilionekana mitaani mitaani. hii ilivujia wapi?
 
haisaidii. wataenda kuteswa chuo manake maprofesa wengi ni wakristu. lol! na ajaira watapata nssf tuuu
Tunataka mkurugenzi wa NECTA awe Muisilamu, ili watoto wetu waisilamu nao watese kwenye mitahani forms 2 na 4
 
ni kweli mkuu.
 

lengo la mtihani wowote ule ukiwemo hata huu wa NECTA ni kupima kama mwanafunzi amepata maarifa, ujuzi, stadi na maelekeo yaliyokusudiwa katika malengo makuu na malengo mahsusi ya elimu, yatakomwezesha mhitimu kuwa na badiliko chanya la kudumu linalopelekea aweze kuyamudu maisha na mazingira yake.
Kama wanafunzi wakifeli, basi ujue moja kwa moja kuwa malengo makuu na mahsusi ya elimu hayakufikiwa, yaani kwa lugha rahisi ni kwamba, wanafunzi hawakupata maarifa, ujuzi, stadi na mielekeo(tabia) ya iliyokusudiwa.
Kwa hiyo kumpongeza Joyce Ndalichako si sahihi hata kidogo.
Ili mwanafunzi afaulu mtihani basi awapo ndani ya chumba cha mtihani anahitaji awe na:-
(Knowledge, skills, attitude) + Speed +Accuracy.
Cha kujiuliza ni je, wakati wanafunzi wanafanya mtihani kichwani walikuwa na package kamili? Na je waliandaliwa kikamilifu kimaarifa,Ujuzi, stadi na kitabia/mwelekeo wa kumudu kufaulu mtihani na baadae maisha halisi?
 

Nimwendawazimu tu ndio atamlaumu ndalichako kwa form four kufeli kile ni kichwa kimedhibiti kabisa wizi wa mitihani waliozoea kuiba mitihani na shule zao wanaweweseka kina Green Buchu chamoto wamekiona.
 

Kweli.
 
Lets not try to politicize education and hunt for a witch! The claim that students failed because there were no exams leakage is too light to be given by an educated cadre due to the fact that, comparatively, students in other countries all the world are passing their examiations! How can statesmen like Mulugo et al (2013) establish a ground to convince the public with such a weak claim! Shame on us Tanzanians; dont you see that you are disqualifying Tanzanian graduates from different universities and post secondary school colleges to EAC and other international labour market? Ama kweli Tanzania ni nchi ya NDUHU TABU kama kwetu usukumani. Kwa Tanzania.mmmh....HAKUNA MATATA!
 
Kweli huyo mama kafanya vzur, maana katekeleza azma ya baraza la maaskofu. Una haki ya kumpa hongera

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ulevi wa pombe unapokuwa afadhali kuliko wa imani hasi
 
Reactions: SQL
Lakini watoto wetu siku hizi ni vilaza sana, naomba watu muutafute mitihani yenyewe muione.. Walimu hawafundishi watoto kabisa pia nadhani mpangilio wa elimu yetu sasahivi sio mzuri. Naomba wanjanvi tafuteni hiyo mitihani mtapigwa na butwaa kwanini watoto wanafeli!!! Namuunga mkono James Mbatia. na huyu mama Joyce ndalichako sioni kosa lake sijui watu walitaka atoe matokeo ya uongo?
 

walitaka awatungie mtihani wa darasa la pili ili wafaulu.
 
badala uwasifu walimu kwa kazi nzuri ya kufelisha kama wanvyosambaziana SMS za pongezi wewe unamsifu mtu anayeshinda ofisini
 
Hata mimi binafsi nampongeza Ndalichako watoto hawasomi mitihani ilikuwa rahisi mno lakini wamefeli kosa liko kwa walimu na wanafunzi na si baraza,
Note;
Nasikia tetesi tume imeundwa ili aonekane yeye ndo mchawi atolewe pale c ile dini yetu haimtaki.
 

mkuu huu utafiti wako umetokana na nini maana umeanza kwa kumsifia Ndalichako tu na huna maelezo mengine
 
NECTA hawashughulikii uendeshaji wa mitihani ya kidato cha pili. Hii mitihani hushughulikiwa na Ukaguzi kanda na wizara yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…