Salaam wana jamii, nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani. Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.
Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu
Kama ni kweli kwamba wnafunzi wamefeli kwa sababu amedhibiti wizi wa exams anahitaji pongezi
Utakuwa unapima upepo....
tumuombe kibanda apone haraka.... kwan walio sabibisha kudhulika jana
walikuwa naye....
Salaam wana jamii,
Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani.
Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.
Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu
Sikweli hata kidogo ... MTIHANI WALIOFELI .... ULIBIWA KAMA KAWAIDA ... !
Tunataka mkurugenzi wa NECTA awe Muisilamu, ili watoto wetu waisilamu nao watese kwenye mitahani forms 2 na 4
Yule mbuzi wa yalee maandishi ya dini yetu aliyetokea kule upareni kaishia wapi?kafiri hata ukijidai kuvaa kanzu na kashda tunakutambua tu!
Wanafunzi wanachokosea
wanaomba extra booklets kwenye mtihani wa mwanzo halafu wanakwenda
kuzitumia nyumbani ku-solve mtihani unaofuata, halafu wanaingia na
booklets zao tayari zimeshajazwa, wakipewa nyingine wanazuga nayo halafu
wanabadilisha, wanaweka yenye majibu wanaficha ile waliopewa.
Tatizo zile booklets zina index number, kwa hiyo BMT wanajua booklet hii
haikutolewa siku ya mtihani husika, hivyo wanakupa F yako halafu
wanatulia.
mkuu naona huelewi hata mada inasema nini? rudia upya kusoma maana ulichoandika hakiendani kabisa na mada husika. mhusika anasema sababu ya kufeli ni matokeo ya kuzuia udanganyifu to the maximum. kwa lugha ingine ni kuwa kama ungevuja kama siku za nyuma basi wangefaulu kama kawaida. anyway madhara ya mbege na banana ndo hayo.Kwa mtazamo huo huna haja ya kumpongeza yeye bali uipongeze serikali kwa kupuuza madai ya walimu ambao ndiyo wanahusika na usimamiaji na kuhakikisha silabasi zinaisha kwa wakati unaofaa. Pia wao ndiyo walikuwa wafanikishaji wakubwa wa uvujaji wa mitihani. Kwa mwaka huu hawakuhangaika kabisa kuwasaidia wanafunzi na wala hakuwa katika ushindani wa kufaulisha bali walikuwa na ushindani wa kufelisha.
Aisee? ... wangueleza umma basi! Ni kweli mtihani uli leak ...ajabu zikatua F Kibao ... ikawa inachanganya sana ....