Bravo Joyce Ndalichako

Bravo Joyce Ndalichako

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Salaam wana jamii,

Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani.

Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.

Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu
 
Salaam wana jamii, nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani. Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.
Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu

Kama ni kweli kwamba wnafunzi wamefeli kwa sababu amedhibiti wizi wa exams anahitaji pongezi
 
Kwa mtazamo huo huna haja ya kumpongeza yeye bali uipongeze serikali kwa kupuuza madai ya walimu ambao ndiyo wanahusika na usimamiaji na kuhakikisha silabasi zinaisha kwa wakati unaofaa. Pia wao ndiyo walikuwa wafanikishaji wakubwa wa uvujaji wa mitihani. Kwa mwaka huu hawakuhangaika kabisa kuwasaidia wanafunzi na wala hakuwa katika ushindani wa kufaulisha bali walikuwa na ushindani wa kufelisha.
 
Umetumwa ili uje kututongoza tukubali kwamba mtihani umedhibitiwa ..kwahyo tuache kufikiria sababu zingine za muhimu?
 
Utakuwa unapima upepo.... tumuombe kibanda apone haraka.... kwan walio sabibisha kudhulika jana walikuwa naye....
 
safi sana mkuu. Dr Ndalichako yupo hapo kudhibiti vilaza ambao wamezoea kufaulu kiujanjaujanja lakini kwa sasa imekula kwao. Nampongeza sana mwalimu wangu kwa kudhibiti ujinga ulizoeleka katika taifa hili
Salaam wana jamii,

Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka katika mitihani ya taifa kuanzia mitihani ya kidato cha pili hadi ya kidato cha sita.Wote ni mashahidi wa hali mbaya ya udanganyifu wa mitihani ulivyokuwa umekithiri kiasi cha kuziona paper za mithiani zikizagaa mtaani.

Sasa huyu mama ameidhibiti hali hiyo,jamani tumuunge mkono na wala kamwe tisimkatishe tamaa. Matokeo haya ya mitihani ya kidato cha pili na ile ya kidato cha nne yanaakisi hali halisi ya udhibiti wa mitihani inayofanywa na bosi huyu mwanamama na timu yake.

Tisimlaumu kwa kushindwa kwa wanafunzi kwani yeye siye msimmamizi wa sera za elimu nchini yeye kazzi yake ni kuandaa upimaji.
Huu ndio mtizamo wangu
 
upuuzi mtupu. hapa naona nipite tu bila kueleza mengi. HUYU MAMA AJIUZULUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU. sababu nyingi tulizitoa kipindi tunajadili kufeli kwa wanafunzi wa form 4
 
Huyu mama kafanya makubwa mtake mstake,kufeli kuwa wanafunzi kunasababishwa na mambo mengi sana ambayo baraza haihusiki kabisaa.
Kama wanaochangaia hii mada si wa kada ya Elimu basi wanaweza wakawa na hypothesis za kuihusisha BMT ila si kweli na nawashauri wajadili hoja zingine za fani zao.
Mama huyu ameleta revolution ambayo inatutaka tufanye analysis ya wapi tunakosea na tufanye lipi,sasa tukimgeuzia kibao tunajitisha na kivuli chetu au hatukubaliani na ukweli uliodhihirishwa na matokeo haya.
Shule za private;
zina walimu kwa masomo yote,madarasa yote,na wana mtihani wa mchujo kwa madarasa yote.Matokeo yake yakoje?
shule za serikali:
Nyingi ya shule hazina walimu wa kutosha,na hazina mitihani ya mchujo zaidi ya ile ya serikali,idadi ya wanafunzi ni kubwa ukilinganisha na walimu waliopo,walimu kwa baadhi ya masomo hawapo kabisa.matokeo yakoje?
NB;
Wakaguzi wa elimu hawana mafungu ya kutembelea shule kubaini mapungufu hata zile shule wanazozitembela taarifa zao hazifanyiwi kazi,
Hizo ni baadhi ya mapungufu ambayo nanachangia elimu kushuka na wanafunzi kufeli.
Baraza la Mitihani imeweza kuonyesha hii mihimili
 
nasikia baraza walizoea kuongeza marks zap wanafunzi ili wafaulu wengi, lakini huyu mama kakataa ujinga huo...
 
Tunataka mkurugenzi wa NECTA awe Muisilamu, ili watoto wetu waisilamu nao watese kwenye mitahani forms 2 na 4
 
Ngoja nijipitie kimya kimya tu nisije nikapigwa ban bure.
 
Sikweli hata kidogo ... MTIHANI WALIOFELI .... ULIBIWA KAMA KAWAIDA ... !

Wanafunzi wanachokosea wanaomba extra booklets kwenye mtihani wa mwanzo halafu wanakwenda kuzitumia nyumbani ku-solve mtihani unaofuata, halafu wanaingia na booklets zao tayari zimeshajazwa, wakipewa nyingine wanazuga nayo halafu wanabadilisha, wanaweka yenye majibu wanaficha ile waliopewa.
Tatizo zile booklets zina index number, kwa hiyo BMT wanajua booklet hii haikutolewa siku ya mtihani husika, hivyo wanakupa F yako halafu wanatulia.
 
Wewe mleta mada peleka upuuzi wako kwa huyo mama Ndalichako aliyekutuma kupima upepo humu, uozo wenu kamwe haukubaliki hata kidogo, Mtaondoka tu hapo kwa nguv.
 
Wanafunzi wanachokosea
wanaomba extra booklets kwenye mtihani wa mwanzo halafu wanakwenda
kuzitumia nyumbani ku-solve mtihani unaofuata, halafu wanaingia na
booklets zao tayari zimeshajazwa, wakipewa nyingine wanazuga nayo halafu
wanabadilisha, wanaweka yenye majibu wanaficha ile waliopewa.
Tatizo zile booklets zina index number, kwa hiyo BMT wanajua booklet hii
haikutolewa siku ya mtihani husika, hivyo wanakupa F yako halafu
wanatulia.

Aisee? ... wangueleza umma basi! Ni kweli mtihani uli leak ...ajabu zikatua F Kibao ... ikawa inachanganya sana ....
 
Kwa mtazamo huo huna haja ya kumpongeza yeye bali uipongeze serikali kwa kupuuza madai ya walimu ambao ndiyo wanahusika na usimamiaji na kuhakikisha silabasi zinaisha kwa wakati unaofaa. Pia wao ndiyo walikuwa wafanikishaji wakubwa wa uvujaji wa mitihani. Kwa mwaka huu hawakuhangaika kabisa kuwasaidia wanafunzi na wala hakuwa katika ushindani wa kufaulisha bali walikuwa na ushindani wa kufelisha.
mkuu naona huelewi hata mada inasema nini? rudia upya kusoma maana ulichoandika hakiendani kabisa na mada husika. mhusika anasema sababu ya kufeli ni matokeo ya kuzuia udanganyifu to the maximum. kwa lugha ingine ni kuwa kama ungevuja kama siku za nyuma basi wangefaulu kama kawaida. anyway madhara ya mbege na banana ndo hayo.
 
Aisee? ... wangueleza umma basi! Ni kweli mtihani uli leak ...ajabu zikatua F Kibao ... ikawa inachanganya sana ....

Siku zote wakuu wa BMT ambao wapo madarakani huwa hawakubali kirahisi kuwa mtihani ume leak, kwa sababu ni kashfa kwao na wanaweza kutakiwa kujiuzuru, hivyo wanatafuta mbinu nyingine za kurekebisha kimyakimya.
 
Back
Top Bottom