peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
hawezi kufanya hivyo mkuu,hana ubavu wala capacity,kwani yeye ni nani mpaka akatae haki za binadam?
kaka nawewe ni mmoja wao nini?

Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.
Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.
Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu
Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
Samahani, lakini kwa hapa inabidi nihoji source na hawa source wetu. Hawa waliliipata wapi habari hii. Nauliza hivi kwa sababu hawa jamaa kwa porojo, hawawezekani.Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.
Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.
Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu
Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
at least afanye kitu kitachoweka listi ya maamuzi kama pres. Of sovereign statekatika mambo yote ninayomsifu rais wangu ni hili la ujogoo!! nadhani nchi za africa zinapaswa kutoa tamko hata ikiwezekana zitangaze kujitoa common weath.
I second you. Tukinyimwa misaada tutajifunza kutumia vema mali zetuTobaa! Haki ya kwenda kinyume cha maumbile!!!!!?? Cameroon aachwe na ngawila zake nasi tubaki na utu wetu...kwani msaada lazima uingereza tu! mbona bado kuna wafadhili wengi na wa maana kuliko hao.
Haya yametokea lini na huyo balozi anaitwa nani navyojua Kikwete hana ubavu wa kumkataa balozi wa uingereza.Nilikuwa nasikiliza redio moja ya hapa jijini mchana huu na kati ya mambo yaliyojiri ni utambulisho wa Balozi mmoja mgeni wa Uingereza ambaye nchi yake ilimteua ili aje awe Balozi hapa kwetu.
Balozi huyo shoga kaoa mwanaume mwenziwe. Mambo ya nje kuona hii ni issue hot ilimpelekea JK suala hili na kulingana na Waziri Membe JK alistushwa na kutamka "Yallahi toba!!!' Baadaye akakataa katakata kumpokea Balozi huyo.
Nampongeza JK kwa hilo, limetudhalilisha sana swala la huyu David Cameron kutaka kutushutisha ushoga wao nchi za Dunia ya Tatu
Source :East Africa Radio-Zembwela na Baruti
hawezi kufanya hivyo mkuu,hana ubavu wala capacity,kwani yeye ni nani mpaka akatae haki za binadam?
Ha ha haHuyo Cameroon anatafuta basha wa kiafrika hana lolote!
Tabia ya kishoga si tu inakosa ustaarabu bali pia kama alivosema mkuu Majoja hapo juu ni ya kishenzi.katika mambo yote ninayomsifu rais wangu ni hili la ujogoo!! nadhani nchi za africa zinapaswa kutoa tamko hata ikiwezekana zitangaze kujitoa common weath.
kaka nawewe ni mmoja wao nini?