masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,120
Kwa kweli kuwaleta hapa Dar hawa waheshimiwa , tena katika muda huu si jambo dogo.
Kuna wanaosema sana kuwa "tuna chumbiwa" kwa sababu ya madini yetu.
Kuna wanao beza hizi juhudi kuwa ni showman ship.
Wengine wanaenda mbali zaidi kudai kuwa nchi imeshauzwa.
Nawaasa watanzania wenzagu kuangalia kwa makini fursa zinazojitokeza.
Tazam kwa makini sana miradi inayokuja, ili mtu ufaidike binafsi kuliko kungojea salio la kodi toka serikalini, tena kwa njia ndefu sana ya kupitia mpaka bungeni.
Lets be smart.
Miradi itaanza karibuni sehemu karibu nyingi zitakazokuwa katika sehemu zilizo ainishwa misaada/miradi inayoletwa na wakubwa hawa.
Kwa wale wa kulalamika hakuna cha kuwasaidia, wajiulize kwa nini Obama, Jin Ping hakwenda Congo kwenye madini zaid au Nigeria kwenye biashara zaidi barani Afrika.
Na hapo ndo nampa heko JK kwa kucgeza karata na kulamba dume, kwa kuwaleta madingi hawa.