Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
Kikolo , angalia vizuri mada yangu na msisitizo wake.
Watu wengi ni wavivu, hata wa kufikiri.
Msisitizo wangu ulikuwa mtu kunufaika binafsi na uwekezaji huo.
Ingekuwa mtihani karibu woote wangetupwa nje, maana wako off point.
Uchumi unaanzia kukua kutokana na kipato cha mtu binafsi, uwekezaji wa nchi ni kuchochea tu fursa za uwekezaji wa wananchi. Tatizo kubwa ni mental orientation ya watu wengi kufikiri serikali iko pale kuwajaza mapesa.
Mnaowachagua wanajijaza mapesa kwanza mifukoni mwao na hata wakiondolewa hilo halikujazi mwananchi maendeleo na mapesa bila wewe mwenyewe kujibidiisha.
Yeah, masopakyindi unakuwa na point saana sometimes, hasa ukiguswa na utanganyika wako hahahaha! We really need do something as a nation, kuna hidden agenda nyingi that sisi tunatakiwa kujua to reach a win - win situation kama nilivyo comment la sihivyo we'll endup being looses! Kitu ambacho sikipendi kitokee manaake ndio utakuwa mwanzo wa mvurugano, mark my word nkamu!