imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,406
Ni Waziri pekee Smart kwenye Baraza la Mambumbubu.Hao ndio viongozi wanaomiliki akili kichwani
Ni Waziri pekee Smart kwenye Baraza la Mambumbubu.Hao ndio viongozi wanaomiliki akili kichwani
Muda Huu Mh January Namuona Kariakoo Shimoni
Akitembelea Kujionea Muitikio Wa Wananchi
Kila Mtu Anawake Wa Kiroba
♂️upewe like😂😂😂 halafu like inakusaidia nini au unanunulia vocha?Nilitumiwa message hii.
Naamini wengi tuliipata hii message.
Kama uliipata nipe like
JK tatizo alikuwa mshkaji sanaHii ilianzishwa kipindi cha JK lakini sijui kwa nini haikufanikiwa, sijui ni kutokana na aina ya uongozi uliokuwepo madarakani labda.
Ndiyo hulka ya Mtanzania bila ya kuwa na huruma tusingewakomboa ndugu zetu wa kusiniJK tatizo alikuwa mshkaji sana
Hawashirikishi wadau wa hizo sekta na wananchi hata kwa uchacheHivi kwann wale wengine wananzishaga mambo lkn hawafanikiwagi
Ova
Hayupo Kwenye Huo Msafara Nadhani Mwenye Mkoa Yupo Sehemu NyingineMwenye mkoa wake hajamsaport?
Kuna jamaa Moja yeye akajibu. Nanukuu...."Waziri hata salamu duu"Nilitumiwa message hii.
Naamini wengi tuliipata hii message.
Kama uliipata nipe like
Elfu 30Hivi watu wametii kwa sababu ya Makamba au watu wameogopa faini ya 30/ kifungo cha siku 7?
Msisahau oia watu wameanza kuelemika na swala la mifuko linawakera watu wengi na haiba ya january ina mchamgo mkubwa si mtu wa mifisa kama yule jamaa.... haa walimpa ofisi wakadhani atashindwaUmetumika ushawishi na elimu zaidi kuliko ubabe, hapa serikali nzima ipate somo kuwa kwenye maamuzi makubwa ya Kitaifa elimu inahitajika zaidi kuliko ubabe na vitisho...
Wasije wakamuonea donge, wakairuhusu maaana Africa ina vituko sana.Jamaa lazima tumpe tano kweli katika siku ya kwanza tu naona watu wametii bila shuruti
Of course yes!
Ukali wa Magufuli unasaidia viamari vya mawaziri kusimamiwa ipasavyo
Jamaa lazima tumpe tano kweli katika siku ya kwanza tu naona watu wametii bila shuruti
haters wanasambaza picha ya mfuko waliouchana na kiwembe.Nimepita mitaani kila kona naona wananchi wengi wameitikia wito wa marufuku mifuko ya plastiki