Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

Natabiri maximum ya miezi sita or less kabla ya serikari kufanya u-turn kwenye hii decision
Hili lazimamtulioiganie wote tusiliombee mabaya waliweza wazenji... why sisi tushindwe tutafunga hata lwemye magome ya migomba
 
Huyu kijana sio ajabu akafukuzwa kisha nafasi yake akateuliwa Mhe.Msukuma sintoshangaa hata kidogo.

Kwa maana nimeyaona mengi kwenye hii awamu
 
Hili lazimamtulioiganie wote tusiliombee mabaya waliweza wazenji... why sisi tushindwe tutafunga hata lwemye magome ya migomba
Kamuulize Makamba kama sio yeye basi wasaidizi wake wazo la ku-delay ban kutokana na kwamba hakuna substitute products, awajaimiza uzalishaji wa mbadala etc na utaratibu waliofuata kimaandalizi kuelekea ban inayoonza leo waliliokotea wapi wacha nikusaidie humu humu JF kupitia Eric Cartman ata wakikataa.

Kama binamu wa Eric nakwambia wape six month huo uchafu utakao tapakaa huko madongo poromoko, magojwa yalimpuko yanayokuja mvua zikija jumlisha na kero hili zoezi halina miezi sita. Unless wajipange namna ya kuzoa taka kwanza.
 
Makamba ana busara sana, kaifanya hii kampeni kisomi sana na kwa busara kubwa, kwanza katoa muda wa kutosha watu kujiandaa, watu wamepewa elimu ya kutosha
 
Umetumika ushawishi na elimu zaidi kuliko ubabe, hapa serikali nzima ipate somo kuwa kwenye maamuzi makubwa ya Kitaifa elimu inahitajika zaidi kuliko ubabe na vitisho...
Katika hili viongozi wakurupukaji na wanaoamini ni lazima kutumia virungu na manguvu ili kueleweka nadhani wanalo la kujifunza.
 
Nimepita mitaani kila kona naona wananchi wengi wameitikia wito wa marufuku mifuko ya plastiki
Mkuu ili la mifuko kwani lilikuwa na ugumu gani kulitekeleza?. Ni utashi tu wa viongozi mbona sheria ya kuizuia ipo muda mrefu, utekelezaji ulikuwa unasusua kwa sababu ambazo viongozi wenyewe wanazijua. Nchi ndogo kama Rwanda walizuia mifuko hiyo siku nyingi. Si kweli kwamba hili suala lilikuwa na ugumu wowote kulitekeleza.
 
Hivi watu wametii kwa sababu ya Makamba au watu wameogopa faini ya 30/ kifungo cha siku 7?
watu wametii kwa sababu kampeni ina manufaa kwa taiga na jamii,halaf imeendeshwa kistaarabu,watu hawajaogopa siku 7 jela,kama miaka 30 kwaajili ya mimba kwa wanafunzi hawaigopi wataogpa siku saba za mifuko ya plastic??? makamba kaendesha kampeni na imefanikiwa kabisaaaaa
 
😀😀😀

Nitaongezea kununulia MB
Kwani wewe ukinipa inakupunguzia nini mkuu?
its like childish bro, mtu ana like content inayosense kwake sio kuelekezwa!

halafu hizi habari za nipe like ziko IG huku unazilazimisha huku ni kuandika content based on the topics then lake inaletwa na content, jaribu kupevuka hata kama age yako iko ki-facebook

those days jf ilitwa great thinker sio kwa like bali kwa uandishi wa vitu vya kusaidia jamii!
 
Mwishowe mtaifanya mifuko ya plastic iwe kama madawa ya kulevya.
 
Wasije wakamuonea donge, wakairuhusu maaana Africa ina vituko sana.

‘Mwanaharakati huru ‘Cyprian Musiba anaweza kugundua mifuko ya Plastic kama tani 100 kuonesha kuwa Januari kashindwa


Africa ni bara la kipekee sana hasa eneo la Siasa chafu
 
Back
Top Bottom