Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

Bravo January Makamba hili la mifuko umeweza

Serikali sio baba akoo Watu hadi maduka ya vichochoroni wametii amrii
 
Kuna watu walianzisha Kampeni za usafi kila jumamosi walishindwa ,walifanikiwa eneo moja tu la kutofungua biashara hadi saa 4 asubuhi! Bravo Januari.Leo nimepita katikati ya eneo la biashara katika Jiji la Dodoma- 😉😉 ni kwamba hakuna mifuko ya plastiki kabisa!
 
Hii ilianzishwa kipindi cha JK lakini sijui kwa nini haikufanikiwa, sijui ni kutokana na aina ya uongozi uliokuwepo madarakani labda.
 
Nilitumiwa message hii.
Naamini wengi tuliipata hii message.

Kama uliipata nipe like
 
Attachments

  • Screenshot_20190601-140729.png
    Screenshot_20190601-140729.png
    11.7 KB · Views: 41
Kuna watu walianzisha Kampeni za usafi kila jumamosi walishindwa ,walifanikiwa eneo moja tu la kutofungua biashara hadi saa 4 asubuhi! Bravo Januari.Leo nimepita katikati ya eneo la biashara katika Jiji la Dodoma- 😉😉 ni kwamba hakuna mifuko ya plastiki kabisa!
Swala la usafi nalo la kusimamiwa mzee baba!!?
 
Back
Top Bottom