Brand new spy watch for sale.

Brand new spy watch for sale.

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Wana JF.
Juzi kati nilipost spy watch na pen.
Sasa imebakia moja nayo ndo hii,ilikuwa niiitumie mwenyewe sasa nimeamua kuiweka sokoni.
 

Attachments

  • P8130081.JPG
    P8130081.JPG
    34.9 KB · Views: 265
  • P8130082.JPG
    P8130082.JPG
    31.8 KB · Views: 286
Mkuu ni PM na mimi bei yake please au weka namba yako tukupigie
 
inatendaje kazi yake tafadhali nijuze..na unauza kiasi gani?
 
Wadau nan anauza spy pen kwa bei nzuri japo niipandie bei mana naihitaj
 
Hii saa inawafaa sana wana magamba ,na hizi kampeni za uchaguzi zinavyokaribia
 
sasa wakuu mnataka kumspy nan?tuangalie tusijejikuta ktk uvunjifu wa sheria za nchi tafadhali,natoa angalizo tuuuu.....
 
Back
Top Bottom