Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Hakuna utaratibu wa kulipa kwa Instalments?! Yani nachukua mzigo then nakulipa taratibu kwa mujibu wa makubaliano! Nipo serious.
Hapana Mkuu, na ndio maana Bei zangu nimeshusha kabsaa mpaka zaid ya Bei chee..hiyo yote ni kutaka biashara iwe chap chap, si unajua cc wenye mitaji midogo biashara inabid izunguke chap.

Jipange tu Mkuu nikuuzia kwa bei pouwa kabsa mwenyewe utafurahi.
 
Duuh sawa mkuu... Mtaji ukituna basi usitusahau na sisi wenye vipesa vidogo vidogo... Hata Bodi ya Mikopo ilituamini na sasa tunalipa kidogo kidogo tena kwa 15% tofauti na 8% ya makubaliano! [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aysee...na Mimi huko Bodi ni mdaiwa Sugu...cjui nitawalipa lini,

Anyway usijali Mkuu tupo pamoja!
 
Vunjabei Matelephones:
the best BlackBerry Priv available kwa Bei pouwa kabsa!!

Price. 950k
For more info: Whatsapp, text or Call 0654776976
IMG-20170116-WA0057.jpeg
IMG-20170116-WA0055.jpeg
IMG-20170116-WA0049.jpeg
IMG-20170116-WA0042.jpeg
IMG-20170116-WA0044.jpeg
IMG-20170116-WA0055.jpeg
 
Am in needy, so I need a better phone so quickly, if anyone is interested, may chek me through DM,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom