Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Wakuu Mizigo mipyaaa bei Cheee
Ninauza smartphones original tu, pamoja na vifaa(accessories) original vya smartphones...
Vunja bei: 0654776976
Sasa Kwa Punguzo la zaidi ya 30%
Simu zote ni Original na unapata na kila kitu chake original...ambao wachapata bidhaa zangu ni mashahid humu. Hakuna utapeli wala usanii usanii hii ni serious business!!
#Na hiz ni baadhi tu.
1477817166685.jpg
1477817185826.jpg
1477817199697.jpg
1477817210904.jpg
1477817233445.jpg
1477817253175.jpg
1477817290094.jpg
1477817310045.jpg
1477817333914.jpg
1477817343705.jpg
1477817363355.jpg
1477817384124.jpg
1477817404055.jpg
1477817421284.jpg
1477817445825.jpg
1477817481615.jpg
 
Attachments

  • 1477818080626.jpg
    1477818080626.jpg
    40.9 KB · Views: 52
WAPENZI WA SIMU KALI ZA KISASA:
Epuka kununua simu mbovu au za wizi au fake kutoka kwa wauzaji wasio waaminifu...Sasa hii ni Vunja bei unaweza kupata simu yoyote Original ikiwa na vifaa vyake halisi km headset, Charger, Memory Card, Glass protector na Cover kwa bei ya chini kabsa na nafuu kuliko ..pia maelewano yapo.

Wasiliana nami kwa namba +255654776976 au email : vieloon@gmail.com
*Hakuna ubabaishaji ndio maana hatu fail*
1478164066872.jpg
1478164074212.jpg
1478164080775.jpg
1478164088985.jpg
1478164100553.jpg
1478164170170.jpg
1478164320744.jpg
1478164390487.jpg
1478164425753.jpg
1478164449677.jpg
1478164479478.jpg
1478164503911.jpg
1478164554348.jpg
1478164623295.jpg
1478164680529.jpg
1478164704518.jpg
1478164720922.jpg
1478165444397.jpg
1478165458799.jpg
1478165471340.jpg
 
mtuuzie kwa installments ase..
sasa hivi kutoa fungu in whole installments mtazungusha mtaji pole pole..
kubali kupata wateja potential wakuwa na credibility nzuri then wachape mzigo wa ukweli.
 
Mkuu mi na lg g4, ila nakupa kwa installment, then tar 26 mwez huu namalizia ilobaki,.ka yawezekana njoo pm tuyajenge
Sijakuelewa chief! Nichek kwe whatsapp 0654776976
 
Mkuu hizo simu zako za windows kama vile Lumia 1520 ni brand new au ni refurbished? Kwa maana ni simu uya kitambo kidogo! Kuwa mkweli kwenye hili mkuu. Je terms zako za Warranty zimekaaje? kwa maana ya coverage na duration? Au ndio ile Warranty ni mgongo wako? Maana kuna mtu nilikutana nae K/koo ilikuwa wakati Huawei W1 ndio hot cake akasema kuwa wao warranty inacover software tu. Sasa hapo nikapata shida kidogo kwa maana ya kwamba simu ikifa charging system kwa mfano labda wakati wa warranty, wao hapo haiwahusu. Hebu tuambie hapa terms zako kwa simu kama hiyo zipoje.
 
Mkuu Hiz simu zangu ni brandnew na pia sio refubricated, ninavyosema brandnew nina maana ni simu mpya, na haijawahi kutumika, na pia inakuwa OG na vifaa vyake vyote halisi. Hata km ilikuwa ya mwaka 90 ila km haijatumika na ipo km ilivyotoka kiwandani bas ni mpyaa japo sio latest.

Upya wa simu haujalishi imetoka mwaka gani..(kunatofauti wa kitu latest na brandnew) upya hutegemea zaid imetumika au haijatumika...

Mfano kwa hiyo lumia 1520 imetoka mwishoni mwa 2013, ila bado kwa wauzaji wakubwa wa jumla mzigo upo mpyaa kabsa maana sio kwmba zilisitishwa kutengenezwa hiyo 2013 na zikauzwa zote zikaisha.
Kwenye swala la.warranty lazima uelewe Simu ni chombo cha moto, mara nying hutegemea matumizi na matunzo ya mtumiaji, km hutafata mtumiz sahihi, mfano kuchaji kwa kipimo, kutumia vitu km powerbank na charger zisizo OG, kuidondosha mara kwa mara chini etc, nawazisimu yako utaiua mwenyewe na utaharibu hata hiyo charging system na hilo sio tatzo la muuzaji, cha muhimu ni kufuata maelezo na hakikisha tu unaponunua ck unapewa na vifaa vyake OG na ukiweza kabla hujatoa hela ijaribu na ujiridhishe kwa kila jambo...na hata likitokea tatzo jaribu kuwasiliana na aliyekuuzia kwa ustaarabu mfanye utafiti chanzo ni nini, b4 hujahamaki na kihis umeuziwa simu mbovu. Maana unaweza kukuta chanzo cha tatzo la simu yako ni matumizi yako mwenyewe.

Pia sisi wauzaji hudeal sana na tatzo la software kwn ndio.tatzo pekee ambalo.sio lahis kusababishwa na mteja, na huweza kujificha ktk simu had pale Mteja anapoanza kuitumia kwa muda flani...
So aliyekwambia hivyo alikuwa sahihi kabsa...charging system unaweza iharibu mwenyewe ndani ya dk 5 na km umeuziwa simu ina tatzo hilo bas utaigundua tu mapema...sio unakaa na simu mwezi mzima af unasema sasa inatatzo la kupata moto wakati unacharge simu yako huku unatumia au unalala usiku kucha cm ipo kwenye charger.
Nazani umenipata mkuu...km bado unashida, feel free kunichek 0654776976
 
Mkuu, vp duration ya warranty yako? Mwaka au??
 
mzigo mpyaa...

Samsung Galaxy Tablet.US version.
4th Generation Tablet.
storage 32GB, 3GB ram, 4G Lte network.
also comes with electronic cover & bluetooth keyboard

price:550k
contact:0654776976

1478836089679.jpg
1478836101249.jpg
1478836114078.jpg
1478836133088.jpg
1478836157418.jpg
1478836291276.jpg

LG G5 Gold color
storage 32GB, 4GB ram, 4G lte network.
comes with all accessories.
price:800k
contact:0654776976
1478836406529.jpg
1478836420762.jpg
1478836429222.jpg
1478836442742.jpg
 
Mkuu natafuta mfuniko/housing ya nyuma ys Sony C6919 isiwe complete na touch yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom