Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

Mkuu natafuta mfuniko/housing ya nyuma ys Sony C6919 isiwe complete na touch yake.
mkuu hiyo ni c6919 au umekosea tu unamaanisha c6916...ambayo ni sony z1s...km ndivyo bas ipo complete housing na display, ila pia mifuniko pekee ipo. nichek 0654776976
 
Min Ipad air.
WiFi & 4G cellular network.
16GB storage.
comes with all accessories.
price: 450k
contact: 0654776976
1479371043806.jpg
1479371049369.jpg
1479371059989.jpg
1479371074653.jpg
1479371084229.jpg
1479371092073.jpg
1479371105069.jpg
1479371112388.jpg
 
Hali bro? Nice to hear from you on this platfoam. Samahani kwa kuuliza ni kutaka kujua tuu, hizi iphones na samsung ni kwamba ni mpya au ni used south afrika ndio zinakuja huku kama yalivyo magari used dubai na japan?

Nijulishe nataka ninunue iphone soon. Na warrant inakuwaje in case of malfunction?


VUNJA BEI: BEI IMESHUKA:Ninauza Smartphones za kisasa, Originals tu kwa bei Poa, mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote zinakuwa mpyaaa na vifaa vyake, pia ni Guaranteed, kwasasa kuna smartphones zifuatazo:

Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M4, USA version, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil

HTC One M8, 32GB @ 550k
HTC Desire Eye, 16GB @650k
HTC One M9, 32GB @750k

Huawei P8 lite, 16GB @ 400k
Huawei P8, 64GB @ 600k

LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @600
LG G4 leather backcover, 32GB @650

Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.3mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil

Samsung S5, 16GB @500k
Samsung S6, 32GB @700k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.1mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.35mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.2mil

Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 700k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
licha ya simu pia nina tablets, ipads, laptops, Camera etc.

[HASHTAG]#Ukihitaji[/HASHTAG] mzigo unaweza kufika ofisini kwangu Kariakoo Pia unaweza letewa ulipo.
# kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitext kwa +255654776976 au kupitia email: vieloon@gmail.com

View attachment 349880View attachment 349881View attachment 349883View attachment 349885View attachment 349886View attachment 349887
9f8091f78bdb9110e16cb579742686a3.jpg
 
Jitahd uandke tuelew wengi so 450K ndio nn
Aujui sifa za Tangazo

Kila mmoja awez kuelewa kiulahc
k manake '000 (thousand), km vile tu Y2K (year two thousand)
 
Hali bro? Nice to hear from you on this platfoam. Samahani kwa kuuliza ni kutaka kujua tuu, hizi iphones na samsung ni kwamba ni mpya au ni used south afrika ndio zinakuja huku kama yalivyo magari used dubai na japan?

Nijulishe nataka ninunue iphone soon. Na warrant inakuwaje in case of malfunction?
Mungu mkubwa nipo salama kabsa ndugu yng, Bila samahan ndugu kwn kuuliza ni jambo jema maana heli aulizae apate kufahamu maana hupata maarifa. Simu zote ninazouza huwa mpyaa...japo zipo ambazo ni used lakin mteja huambiwa na kuwekwa wazi, kwa swala la kuchukulia south mfano mzuri ni kama wafanyabiashara wa mikoani wanaokuja kununua nguo mpyaa kwa jumla hapa Dar ambazo zimetengenezwa china..then wanenda kuuza mikoani.
huwa wanazingatia vigezo vingi...ila kwa haraka tu wengi hujali Unafuu!!
kwa hiyo, unafuuu wa kupata mzigo bora south Africa ndio sabab kubwa. na simu zangu huwa mpyaa kabsa na vifaa vyake.
pia cha kujua tu ni kwamba hakuna soko la simu used S.A zaid zaid huwa za simu za wizi rabda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom