Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

Nokia torch na wajukuu zake wa ki-
images (1).jpeg
images.jpeg
Leo
 
Katika ulimwengu wa Gundi mwamba Super Glue amekosa kabisaa mshindaniii yupo kwenye ubora wake miaka yoteee...



View attachment 1721342

Pipikali pipi kifuaa anaendelee kuchua makombee kwenye ulimwengu wa pipi dizen hiii

View attachment 1721343


Sigara kalii hii sigara kwenye upandee wasoko itazidii kupakiii pale palee huyu ndio mwambaa hasa hasa mwenye ku-mixer kwenye marijuana hii inatumika Sana

View attachment 1721346
Tafadhal mkuu naomba uongezee na brand ya zig/risla
 
Hell no..

For now kina Hill water wanakimbiza mjini hapa..hao uhai labda kwenye uzajo mkubwa kama ule wa dispenser n.k
Kwa taarifa yako huyo hill water ameshika kuanzia Bagamoyo hadi Tegeta ukienda huko Mbagala, gongo la Mboto, Chanika watu hawajui kama kuna maji yanaitwa hill ata mm niliyajua baada ya kukaa Bunju kama mwezi mmoja hivi
 
Back
Top Bottom