Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 956
- 1,543
Next time usinisahau kiongozi. Utakayohisi inanifaa.Sifanyi biashara ya rejareja, labda kama unataka mzigo mkubwa wa biashara ya jumla tuongee.
Wiki iliyopita nimemtumia rqfiki yangu mmoja Tanzania USB external drive ya 5 terabytes.
Aliniomba nimtumie dataset fulani kwenye email. Nikamwambia hizo datasets ninazo nyingi sana kwenye email hazitatosha, nikamtumia external hard drive.
Kama ungeniwahi wiki mbili zilizopita, ningeweza kukutumia bure tu.