dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,149
Umenunulia wapi mkuu vipi na bei yake?Nimenunua Samsung SD cards tatu za 512 GB each. Hazijaniangusha.
Sijawahi kupata matatizo na SD cards za Samsung.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenunulia wapi mkuu vipi na bei yake?Nimenunua Samsung SD cards tatu za 512 GB each. Hazijaniangusha.
Sijawahi kupata matatizo na SD cards za Samsung.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nanunua Amazon, kuna wakati zinashuka sana kwenye sales zao, lakini kawaida ni kuanzia $80 na kuendelea.Umenunulia wapi mkuu vipi na bei yake?
Asante mkuu ngoja nitazame hukoHuwa nanunua Amazon, kuna wakati zinashuka sana kwenye sales zao, lakini kawaida ni kuanzia $80 na kuendelea.
Ona hapa Amazon.com : 512gb microsd cards
Unataka ya ukubwa gani?Asante mkuu ngoja nitazame huko
Kuanzia Gb 32 nakuendelea itategemeana na priceUnataka ya ukubwa gani?
Ulipigwa. Tena ulipigwa mno!Ni kweli hapo kwenye bei siku hizi flash zina bei ndogo, nakumbuka nilinunua flash ya hp silver 16gb kwa tsh45000 mwaka 2017 mpaka sasa kuna jamaa anaitumia.
Kariakoo maduka ya computers 32GB zinauzwa 15,000 ndio bei zake. Brand unachagua mwenyewe.Kuanzia Gb 32 nakuendelea itategemeana na price
Wewe unaweza ukajiona hujapigwa ila umepigwa (indirect way)Ulipigwa. Tena ulipigwa mno!
16GB Flash Disk unauziwa 45,000? Halafu wewe si mtu wa Programming/Computer systems? Sasa mbona ulipigwa kizembe hivo.
Last two weeks nimenunua 32GB flash disk mbili pale @Discount2020 Kariakoo (mkabala na Msimbazi Police).
16GB moja inauzwa 11,000
32GB moja inauzwa 15,000
Brand: Toshiba/Sandisk. Mimi nilichukua Toshiba.
Janjaruka mzee. Usikariri kuuziwa kitu kwa bei kuuubwa eti ndio uimara wake.
Technology imekua sana.
Sawa mzee wa daslam, sio wote tunachukua vifaa vya aina hiyo kariakooo, mkuu flash ina piga mzigo dogo anayo mpaka sasa.Ulipigwa. Tena ulipigwa mno!
16GB Flash Disk unauziwa 45,000? Halafu wewe si mtu wa Programming/Computer systems? Sasa mbona ulipigwa kizembe hivo.
Last two weeks nimenunua 32GB flash disk mbili pale @Discount2020 Kariakoo (mkabala na Msimbazi Police).
16GB moja inauzwa 11,000
32GB moja inauzwa 15,000
Brand: Toshiba/Sandisk. Mimi nilichukua Toshiba.
Janjaruka mzee. Usikariri kuuziwa kitu kwa bei kuuubwa eti ndio uimara wake.
Technology imekua sana.
Flash za usb 2.0 sasa hivi 16GB unapata kwa 9000 mpyaaa yani unaibandua mwenyewesKariakoo maduka ya computers 32GB zinauzwa 15,000 ndio bei zake. Brand unachagua mwenyewe.
Nuzie moja mkuu KirangaNimenunua Samsung SD cards tatu za 512 GB each. Hazijaniangusha.
Sijawahi kupata matatizo na SD cards za Samsung.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo sandisk aisee nna gb 128 ninayo toka mwaka juzi ni 3.1 ni dual yaani pia ina upande wa type cUpande wa Flash sijaona m'badala wa Transcend Flash drive
Upande wa SD card kwa upande wangu sijaona m'badala wa ADVANCE
Ila wee jamaa aisee utakuwa na files nyingi sana za kuhifadhi kwnye hzo memoryNimenunua Samsung SD cards tatu za 512 GB each. Hazijaniangusha.
Sijawahi kupata matatizo na SD cards za Samsung.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimekusanywa miaka 20 na nazidi kukusanya.Ila wee jamaa aisee utakuwa na files nyingi sana za kuhifadhi kwnye hzo memory
Sifanyi biashara ya rejareja, labda kama unataka mzigo mkubwa wa biashara ya jumla tuongee.Nuzie moja mkuu Kiranga
[Zimekusanywa miaka 20 na nazidi kukusanya.
Jehova (the character) anajipinga mwenyewe, hata sihitaji kumpinga.Files zako za kumpinga jehova[emoji16][emoji16][emoji16][
Hata Hard Disk Drive wapo vizuri sana..... Transcend wapo serious na kaziUpande wa Flash sijaona m'badala wa Transcend Flash drive
Upande wa SD card kwa upande wangu sijaona m'badala wa ADVANCE
Files zako za kumpinga jehova[emoji16][emoji16][emoji16][
Jehova (the character) anajipinga mwenyewe, hata sihitaji kumpinga.