Brand bora za flash na memory card

Mkuu kote wachina wamepiga kirusi, tembea kwa tahadhari, jipange tu kuihakiki kabla hujainunua.

Halafu bei iwe mtihani wa kwanza kabla ya kuingia jaribio linalofuata. Usinunue flash kwa wale jamaa wa nyungo au wanaotembeza na maspika wanapiga nyimbo au wanaotembeza mkononi.

Kwa sasa bei inacheza 2gb 10k mpaka gb32 32k.

Zipo imation, oraimo, sony nk
 
Mkuu kote wachina wamepiga kirusi, tembea kwa tahadhali.jipange tu kuihakiki kabla hujainunua.

Halafu bei iwe mtihani wa kwanza kabla ya kuingia jaribio linalofuata.usinunue flash kwa wale jamaa wa nyungo,au wanaotembeza na maspika wanapiga nyimbo,au wanaotembeza mkononi.

Kwa sasa bei inacheza 2gb 10k mpaka gb32 32k.

Zipo imation,oraimo,sony nk
Nataka kununua kwa ajili ya kuuza
 
Wakuu ni brand gani za flash na memory card zinapendwa zaidi?
SanDisk ziko poa, kama unamkwanja mzuri nenda kanunue za hp, anzia gb16.

Kingine usipende kununua flash zenye size kubwa kuanzia 32gb na kuendelea hasa zikiwa cheap utalia mapema.
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Memory card saivi ni cheapest sana gb32 bei ya jumla 11elf, na flash zinakaribiana tu bei original, ila feki (za kawaida) ata iwe gb64 huwa haivuki elf4.

Brand name zinazopendwa sijui maana ukitaka ata kwa jina lako unapritiwa kama mkulima
 
Ni kweli hapo kwenye bei siku hizi flash zina bei ndogo, nakumbuka nilinunua flash ya hp silver 16gb kwa tsh45000 mwaka 2017 mpaka sasa kuna jamaa anaitumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom