Good observation.
Swali langu ni kwamba umejuaje kama hizo ndizi zinafanana urefu na uzito mpaka zikagawanywa kwa tatu kupata thamani ya ndizi moja.......?
28 - hapa kinacho tumika ni logic zaidi, kusema hatuwezi kuipa ndizi moja thamani ya namba mbili kwa kuwa zina saizi tofauti sioni mantiki yake!! Ni kweli vile vile apples za mwisho ni mbili sio moja, kwa wazo yangu mtego ulikuwa kwenye apples.
Good observation.
Swali langu ni kwamba umejuaje kama hizo ndizi zinafanana urefu na uzito mpaka zikagawanywa kwa tatu kupata thamani ya ndizi moja.......?
Jibu ni ishirini na saba. Ndizi moja ni sawa na 2(juu zipo tatu zenye thamani ya 6), zabibu moja ni sawa na 1 na hapo chini zipo 11(sio 12 kama juu), na nyanya ni sawa na 7 ila zipo mbili. jumla ni 27
Jibu ni ishirini. Ndizi moja ni sawa na 2(juu zipo tatu zenye thamani ya 6), zabibu moja ni sawa na 1 na hapo chini zipo 11(sio 12 kama juu), na nyanya ni sawa na 7, jumla ni 20