Bragg apple cider vinegar

Bragg apple cider vinegar

Huuu

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
116
Reaction score
61
Habari!
Nauza apple cider vinegar with mother, kwa bei ya shilingi 30000/= kwa ujazo wa nusu lita.

Pia hii apple cider vinegar ina faida nyingi sana ikiwemo kupunguza uzito (inapunguza hamu ya kula/ appetite suppressant) na pia inaweka sukari sawa kwenye damu...
Kwa ufupi ina faida nyingi sana kwenye mwili wa binadamu.
IMG_1916.JPG
IMG_1918.JPG
IMG_1922.JPG


Napatikana Dar es Salaam

Karibuni sana.
 
Bado zipo, jumla na rejareja karibuni maboss wangu
 
Hiyo ni ile "Raw" au "Processed"??
 
Back
Top Bottom