Brachiosaurus Dinosaur atarudishwa lini TZ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brachiosaurus Dinosaur atarudishwa lini TZ?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Jimjuls, Sep 25, 2012.

 1. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Huyo ni aina wa dinosaur(Urefu mita 12.6 na uzito unliokadiriwa tani 80) mabaki yake yaliyochukuliwaga kutoka kilima cha Tendaguru mkoani Lindi.Mabaki yaligunduliwa na Engineer Mjerumani mwaka 1906.Kisha baadaye kati ya mwaka 1906 na 1913 mabaki yake yalipelekwa kule Ujerumani katika Natural Science Museum of Berlin.Na sasa Ujerumani inapata kipato kikubwa kwa kivutio hichi.Sasa nilisikia kwamba TZ inafanya mchakato wa kumrudisha nyumbani..Mara eti wanajenga jengo la kuhifadhia hayo mabaki.Sasa serikali ya Tanzania imefikia wapi?Isije ikawa kuna mtu anakula "ten percent" ya mapato ya kutoka Ujerumani?
   
 2. m

  mmteule JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,004
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280


  Mkuu umefumba jukwaa lako, Huyo BD ndiyo kitu gani MJUSI, KINYONGA ,MAMBA, NYOKA AU KIFAA CHA KIJESHI. FUNGUKA KAMA GT - WA JF BANAAAA.
   
 3. J

  John W. Mlacha Verified User

  #3
  Nov 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  hili swali lilishawahi kuulizwa bungeni, but hadi leo naona hakuna mtu mwenye shida na hizo pesa, serikali inggekuwa inamtaka huyo dinosour angesharudishwa tena kwa gharama za hao hao wajinga wajerumani na fidia juu , ila tumelala tunaiba hiki kidogo kilichopo ndani
   
 4. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Huyo ni aina ya Dinosaur aitwaye Brachiosaurus
  [h=2][/h]
   
 5. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
   
 6. HoneyBee

  HoneyBee JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Wajerumani, Waingereza, Wafaransa, Wareno na Wabeligiji waliigawa Afrika bila kushirikisha Waafrika kati ya 1881 na 1914 ( the lscramble for Africa). Mambo ya man made borders hayakuwepo kabla ya wao kuja Afrika, ni system ambayo walikuwa nayo Ulaya ambayo waliimpose kwenye bara letu. Ukifikiria, who are we as human beings to say we own a lake?? Hayo ni matatizo ya kuweka dollar signs kwenye kila kitu $$$, the western way of thinking. Matokeo yake tunataka mifupa ya dinosaur irudishwe, ambapo kama hawa wazungu wasingekuwepo bado lingekuwa limechimbiwa ardhini. Tunataka Ziwa Nyasa, migodi ya dhahabu na almasi na Tanzanite ipo pia lakini tulikuwa tumezikalia sababu hatukujua, na hatukuwekea dollar signs kwenye vitu kama hivyo. Utajiri ulikuwa unapimwa kwa mifugo kama ng'ombe na mbuzi.

  Hiyo mifupa ikirudishwa haitatunzwa, au labda tutaambiwa ilipotea kumbe waziri fulani kauzia museum nyingine China. Wanyama pori kila siku tunasikia wanatoroshwa, wanuziwa zoo marekani, chui wanauziwa mabilionea waarabu waende kutunza kama paka wa nyumbani. Typing all this makes me angry!   
 7. j

  jaffery hassan Member

  #7
  Nov 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2008
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunamhitaji huyo mjusi kwani ni mali yetu na amechukuliwa kutoka kwetu tanzania,kwani hayo mapato ujerumani ambayo wanayapata angekuwa kwetu tungeyapata na hilo jengo la kumuweka huyo mjusi linachukua muda gani?kama wajerumani walimchukua na kukaa nae takribani karne moja sasa now it is our turn tumechoka kuiangalia hiyo mijusi kwenye national geographic,discovery etc now we want we as tanzanias to see that mjusi physically kama wanafunzi au mtu anaweza fanya tour kwenda jujionae huyo mjusi pale ambapo serikali itajenja hilo jengo.TUMECHOKA NA SIASA WE WANT BACK OUR DINO.WE WANT ACTION ON THIS.:israel:
   
 8. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hatujawa na utashi wa kurejesha mabaki ya huyu mjusi. Ni aibu na ni uzembe hili linatakiwa kuwa moja ya ajenda za nguvu katika wizara na idara yenye dhamana kwa kushirikiana na Mambo ya nchi za nje. Wenzetu hata Egypt walirudishiwa mali zao (na gharama za Usafirishaji siku kibao)!
   
 9. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,694
  Likes Received: 2,378
  Trophy Points: 280
  Hivi ilie kichwa ya mkwawa isharudi? wapi kaburi ya mkwawa,isike,kinjeketile,mwinyi kheri na wangineo!
   
 10. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2014
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Na Nyie redusheni meli yao MV Liemba maana mnapiga hela hadi leo... Mla huliwa
   
 11. s

  sheckman JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2014
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya ndo mambo ya kutetea. Kule mjengoni kimya . Wao ni mungano serikali sijui ngapi ngapi, yasokuwa hata maana wanaacha vitu vya uchumi kama hivi.
  Nakupongeza sana sana kukumbuka mali ya taifa lako.
  Sasa tutazame viongozi wangapi watatetea mali asili kama hizi, wao twiga tu basi
   
 12. s

  sheckman JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2014
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 425
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii ndo sera yetu kuchangia mada ni kulalama na kubeza. Mm na wewe tunapita tukipe elimu kizazi kijacho kijekutawala uchumi wao.
  Mao wa china hayupo lakini hii leo wachina wanafaidi. Kila kilicho asisiwa na viongozi wote wa china wakiongozwa na mao.
   
 13. NICOLAX

  NICOLAX JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2014
  Joined: Sep 4, 2014
  Messages: 251
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ebwanaeeeeh since 1906, karne moja sasa na uchede wa miaka. Labda tusiende mbali sana kuwalaumu viongozi wa sasa ( niulize tu)
  Hivi hii kitu hata nyerere aliikalia kimya ??? Usinambie alikua hajui because i'll conclude that, there is no foolish animal than human being
   
 14. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2014
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 768
  Trophy Points: 280
  Hivi hadi tunalia lia hapa, je malalaimiko yalishapelekwa wizara husika?
   
 15. NICOLAX

  NICOLAX JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2014
  Joined: Sep 4, 2014
  Messages: 251
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Not real sure mkuu, ila hii kitu ilishawahi fikishwa bungeni, ilivyopigwa chini kwakeli sikuelewa elewa

  .made in mby city.
   
 16. salva shilingi

  salva shilingi New Member

  #16
  Nov 11, 2014
  Joined: Aug 24, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mla huliwa kwani walichukua vingi na pia walifanya vingi jambo la kusikitisha ni kua wakoloni pamoja na ubaya wao walijenga reli wakaleta meli shule hosipitali siwapongezi kwa wizi wao ila miaka 50 hamsini ya uhuru hata nusu ya walivyofanya ingawa hapa sio kwao.
   
 17. fyddell

  fyddell JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2014
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 2,082
  Likes Received: 768
  Trophy Points: 280
  Hili jambo anaweza kufikishiwa waziri wa maliasili na utalii akishilikiana na waziri wa mambo ya nje wakalifanyia kazi Mara moja. Vitu vingi sana vinachukuliwa hapa nchini kwa faida ya hao waliobahatika Kuwa ndani ya system ya uongozi wa hii nchi. Utakapopatikana uongozi wa haki nje ya mfumo huu wa kiccm, vitarudishwa vingi hapa na wananchi watabaki midomo wazi kwakushangaa kuwa hata hiki na chenyewe kilichukuliwa?!
   
 18. NICOLAX

  NICOLAX JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2014
  Joined: Sep 4, 2014
  Messages: 251
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Unachoongea mkuu ni kweli kabisa, mambo mengi sana tumefichwa utazani sisi wapangaji katika nchi ya kigeni
  Kumbe sisi ndio wazawa
  Mkuu i can't imagine what will happen finally

  .made in mby city.
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2014
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha nicheke mie. Mjengoni kwanza ukilitaja hilo jina la huyo ''mjusi'' mwenye urefu wa mita 12 na uzito wa tani 80 watakuona una kichaa. Wao wamezoea mipasho tu mule. Mambo magumu magumu kama haya, wala hayawahusu
   
 20. s

  sawabho JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2014
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ni afadhali hao Wajerumani ambao walichukua huyo Mjusi enzi hizo watanzania wakiwa hawana elimu wala hawajui lolote enzi hizo za Chifu Mangungo wa Msovero, Usagara. Aidha, Aidha, enzi zile hawakuchukua kutoka Tanzania wala Tanganyika, bali ilikuwa German East Africa, hata hivyo, baada ya uhuru kupatikana wanakiri kabisa kuwa alitoka Tanzania na kwa namna hiyo wanaitangaza Tanzania kiutalii. Vipi kuhusu madini na wanyama ambao waliwaachia lakini sasa hivi mnawatoa kwa nguvu zote !!! Unachukua hatua gani kuzuia mali ya Tanzania inayoondoka sasa hivi ukiwa na elimu na akili ? Itafika wakati mtaanza kuwaomba wawarudishie madini yenu.
   
Loading...