Wakuu nimepita maeneo ya ubungo external hapa kuna sheli ya BP nimeshangaa nikiona wanauza mafuta kwny magari kama kawaida..nikajiuliza kuwa ile adhabu yao ya kutouza mafuta kwa miezi mitatu imeshaisha au imekuwa vp, some how confused.! Naomba kuwasilisha..
Pole sana kwa kuamini adhabu zinazotangazwa na serikali yetu dhidi ya matajiri. Umesahau kuwa tunaongozwa na serikali LEGELEGE?
<br />Wengine huwa mnakurupuka tu. Serikali wana hisa 50% BP.
<br />Kwahiyo umekuja kuwashtaki JF au?
<br />JK na serikali yako legelege mmeshinda ushindi wetu kama raia tutautangaza mwaka 2015
BP imeuza reserve yake yote kwa GAPCO na ikawapa instructions clients wake wanunue huko.