msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,739

Waungwana nimefikiria sana na kuona kuwa kuna haja ya kuwasaidia wagombea na washabiki wao hasa wa UPINZANI BP Machines ambazo ni portable ambazo huhitaji kwenda hospital na unaivaa kama smart watch,,, hizi machine ni nzuri sana ,hii itasaidia sana hasa kipindi cha uteuzi na wakati wa kusubri matokeo..... asanteni sana
Wenu katika ujenzi wa Taifa!!!!