Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,063
Unakumbuka nini na wapi ukisikia majina ya wanamuziki hao na hususan vibao hivyo
Mkuu, umewaza nini kuturudisha miaka ileeee. Mi nakumbuka alivyotutoa laki moja (wakati huo) ili kumuona alipokuja miaka sjui 92 au 91 hata sikumbuki vizuri ili tukamuone scola miel na bety. Tumetoka mbali wajamen