Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
kuna member hapa jf aliwahi kuletewa muuza k chumbani kwao. ndoa yake ilisurvive so hayo ni mapito tuuHuyo jamaa kazidisha kuleta mwanamke kwenye kitanda unacholala na mkeo ni kosa kubwa sana
kuna member hapa jf aliwahi kuletewa muuza k chumbani kwao. ndoa yake ilisurvive so hayo ni mapito tuuHuyo jamaa kazidisha kuleta mwanamke kwenye kitanda unacholala na mkeo ni kosa kubwa sana
kuna member hapa jf aliwahi kuletewa muuza k chumbani kwao. ndoa yake ilisurvive so hayo ni mapito tuu
kuna member hapa jf aliwahi kuletewa muuza k chumbani kwao. ndoa yake ilisurvive so hayo ni mapito tuu
Huo uvumilivu mmi nooooooo
Hapo sasa,
Ndo maana wenzenu tunasema kuwa hii dunia imekaa kichwa chini miguu juu....
Kila mtu aende at his/her own risk!!
Babu DC!!
Wenzio wakinyolewa zako tia maji! Sasa mi naamua kutia mafuta kabisaaa ili mkasi uteleze nisinyolewe!!!!!!!! I know im not special na upuuz kama huu kwa mie Kubwa la Maadui sikawii kumuwekea mtu dawa ya uhanisi kwenye juisi! Dhambi za nini? Bado nipo nipo sanaaaaaaaaaaaa!