Wanajamii natumaini mpo poa, kunakitu kimentatiza npo na bf tunakaribia kuanza taratibu za uchumba, yeye ana kaka yake ambae ameoa ila kwa sasa kaka yake huyo hayupo sawa na mkewe wametofautiana, ifu imetokea mkewe kapata safar ya nje kikazi. sasa kaka mtu amemsoudisha kimada wake aje kulala hapo home kwake et na huyu mchumba mtarajiwa anasupport tu aende akalale sababu mke wa kaka haelewani na mumewe!!!!!!! sasa na mim nawaza Binadamu kukosana kupo so atakua ananifanyia hivihivi?? pole kwetu wanawake kwa kweli