Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Macho yamekutokajeee!!!!!
My kaka sifanyi biashara hiyo wallahi
kuwa wapenzi haina guarantee kuwa kuna kuona hapo kesho
Macho yamekutokajeee!!!!!
Nakumbuka yalinitokea haya! Enzi hizo na Boyfie apo ndo malovee yamekolea nazi nakwambia.. Yupo bimkubwa kazini wanaviwanja mbezi wanauza tununue!
Mtoto na damu yakichaga nkamuliza then tutaandika jina la nani..oh lakwangu... Nkamwambia why not mine?eti mwanaume ndo inaeleweka zaidi kwani unawasiwasi gani bebi!! Wakati tutaoana!mtoto penzi la kwanza kidogo niingie mkenge.
Mizimu ya mabibi ikanigusa bega shtukaaa! Nikagoma! Nkamwambia labda tununue viwili tusave kila mtu na chake ama hela tuifanyie shopping! Lol
ikabidi ni kusave! Then ikapatikana kinyerezi na kibamba! Nakumbuka ilikuwa kama mil3 each hivi!
Yes kila mtu na maisha yake now but atlst we have gud satsfied memories each!
Shogaako afanye kama mimi or waandikishane kama ameshindwa wawe owners wawili!
Maana uboyfie na ugrlfie hauna guarantee!
My kaka sifanyi biashara hiyo wallahi
kuwa wapenzi haina guarantee kuwa kuna kuona hapo kesho
Wny not co ownership tangu mkataba wa kununua????!!
Mtoto wa kike hajashituka tu
me naona kwa uchagani ipo kwenye damu either akuwahi au umuwahi ila ukimuwahi subiri revange! me kwa uzoefu wangu uchagani ndo formula ya maisha ...timingmizimu ya bibi ya uchagani?
naona wadada wa kichaga huwa hawaingizwi mkenge kirahisi
hata kama shule ya msingi hakumaliza....hawaingizwi mkenge
wengine unakuta ana degree mbili na anaingizwa mjini na kidume standard seven..
Kama wana mpango wa kuoana si asubiri hadi ndoa haraka za nini?
Ukisikia kulazimisha ndoa ndio huko...hapo utakuta anajipa moyo kuwa kiwanja ndio bond......'hawezi kuniacha tumefanya mambo mengi pamoja'
Kiwanja si kitakuwa kimenunuliwa na mtu mwingine sasa