Mkuu hakununua alifata ushauri wa wengi na ndio huyo muhusika wa Uzi uliotoka kucoment muda mchache wa amerudi.
Okay
afadhali ameepuka janga
Mkuu hakununua alifata ushauri wa wengi na ndio huyo muhusika wa Uzi uliotoka kucoment muda mchache wa amerudi.
Nakumbuka yalinitokea haya! Enzi hizo na Boyfie apo ndo malovee yamekolea nazi nakwambia.. Yupo bimkubwa kazini wanaviwanja mbezi wanauza tununue!
Mtoto na damu yakichaga nkamuliza then tutaandika jina la nani..oh lakwangu... Nkamwambia why not mine?eti mwanaume ndo inaeleweka zaidi kwani unawasiwasi gani bebi!! Wakati tutaoana!mtoto penzi la kwanza kidogo niingie mkenge.
Mizimu ya mabibi ikanigusa bega shtukaaa! Nikagoma! Nkamwambia labda tununue viwili tusave kila mtu na chake ama hela tuifanyie shopping! Lol
ikabidi ni kusave! Then ikapatikana kinyerezi na kibamba! Nakumbuka ilikuwa kama mil3 each hivi!
Yes kila mtu na maisha yake now but atlst we have gud satsfied memories each!
Shogaako afanye kama mimi or waandikishane kama ameshindwa wawe owners wawili!
Maana uboyfie na ugrlfie hauna guarantee!