Nilipo bold, ndo penyeweHonestly, asitoe hiyo pesa. Atakuja kulia kikwao bure. pesa mtoe pamoja, jina aandikwe kidume, mbona majanga! kwa nini asiandikwe bidada? kama bf hamwamini gf wake, kwa nini yeye aaminiwe?
kuna bidada alijipendekeza hivyo hivyo wakiwa wachumba. wakanunua kiwanja kwa jina la mshikaji. baadaye jamaa akaanza kujenga nyumba bila binti kujua. alipokuja shtuka, jamaa ana gf mwingine with serious relationship. the monster monopolised the pieace of land na dada hakuwa na ushahidi wa kudai haki yake!
Kozooooo....we ndio 'kaka' niniiiii?haaaahaaaa
Sio wakati mwingine, wakati wote hatutabiriki. Mi nikutane na kitu cha uhakika, na pengine we unanizingua ni ache kukupiga kibutiAsithubutu kulanguliwa,wanaume wakat mwngne hawatabirik.
Na wasipooana itakuwaje?
Bwana wee,mda mwingi 2nawaamin ila mnakua vigeugeu nyieSio wakati mwingine, wakati wote hatutabiriki. Mi nikutane na kitu cha uhakika, na pengine we unanizingua ni ache kukupiga kibuti
Mkataba waandike.majina yote wakishaoana wataanza mchakato wa hati kwa majina yote!!!!!!
Ila hiyo share awe tayari kuendelea nayo mpaka mwisho yaani kama nyumba ni 80M basi aandae hiyo 40M kabisa siyo kudai mwanzo halafu kwenye ujenzi ajidai yeye atashughulikia mambo ya nyumbani!!!!!
Nilipo bold, ndo penyewe
Nakumbuka yalinitokea haya! Enzi hizo na Boyfie apo ndo malovee yamekolea nazi nakwambia.. Yupo bimkubwa kazini wanaviwanja mbezi wanauza tununue!
Mtoto na damu yakichaga nkamuliza then tutaandika jina la nani..oh lakwangu... Nkamwambia why not mine?eti mwanaume ndo inaeleweka zaidi kwani unawasiwasi gani bebi!! Wakati tutaoana!mtoto penzi la kwanza kidogo niingie mkenge.
Mizimu ya mabibi ikanigusa bega shtukaaa! Nikagoma! Nkamwambia labda tununue viwili tusave kila mtu na chake ama hela tuifanyie shopping! Lol
ikabidi ni kusave! Then ikapatikana kinyerezi na kibamba! Nakumbuka ilikuwa kama mil3 each hivi!
Yes kila mtu na maisha yake now but atlst we have gud satsfied memories each!
Shogaako afanye kama mimi or waandikishane kama ameshindwa wawe owners wawili!
Maana uboyfie na ugrlfie hauna guarantee!
pesa watoe wote,kiwanja kiandikwe jina la mwanaume
Kama wana mpango wa kuoana si asubiri hadi ndoa haraka za nini?
mizimu ya bibi ya uchagani?
naona wadada wa kichaga huwa hawaingizwi mkenge kirahisi
hata kama shule ya msingi hakumaliza....hawaingizwi mkenge
wengine unakuta ana degree mbili na anaingizwa mjini na kidume standard seven..