concious mind
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 1,031
- 668
Hajaona umuhimu wa kubadilika ila ukimuacha inaweza kuwa sababu ya badilika
34 years unamuita boyfriend...acha tu akutegemee kwakweli
Mkuu, hao watu, Eva na Tony Parker walishatemana kitambo sana!.Wavivu wanajulikana.
Ndege wafananao huruka pamoja..
Beckham sio mpumbavu kumuoa victoria ,,,,, eva longoria na tony parker,,
wavivu kwa wavivu,, wanaojituma kwa wanaojituma,,, ndio maisha ya kisasa yanavyotaka,,
Hali zenu wana Jamii forum naombeni ushauri wenu,
Mimi ni msichana wa miaka 28 nina degree Bcom,boyfriend wangu ana miaka 34 ni mwalimu serikalini.tulipoanza uhusiano nilikua mpweke tukaingia kwenye mahusiano,yeye kutokana na umri kwenda anatafuta mtu wa kuoa.
Huwa anagusia kuhusu ndoa mi namwambia kwanza ajiandae kimaisha either asome afikishe level ya degree au kama ana njia mbadala ya maisha, cause kama mimi sina kazi ni ngumu kuishi kwa kutegemea mshahara wake nikajipa mahope mayb nitulie nae ipo tu siku atawini maisha kila siku namkazania asome au abadili kazi navyomuona mwenzangu hana haraka ya kukazana kimaisha.
Kinachoniboa hua ananiomba hela ya matumizi wakati mwengine hadi nauli anaomba,sim yake katupa anatumia yangu na aliniambia sometimes anapandaga daladala bila nauli,jamani mtu gani wa kuanza nae maisha huyu? Natamani nimuache ila ntaanzia wapi,kumpenda nampenda ila maisha yanamshinda hua anamuombaga hadi mama yake ela, msinitukane mnishauri.alafu ana wivu mpaka nakosa amani akipiga simu nisipopokea kanuna.

Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe