Boyfriend ananitegemea

Boyfriend ananitegemea

hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

pole sana dada, ikiwa nafsi yako inakufanya umuone hutaweza kufanya nae maisha kwa kigezo au vigezo ulivosema ni bora uachane nae mapema ili usje ishi kwa maumivuuuuu, usitegemee kumbadilisha mtu mkiwa tayari ndoani,ni wanaume wachache sana hubadilika kwa uweza wa mungu mwenyezi,wengi huzidi kuwa matatizo,sasa bora uyaache mapema utulie ukimsihi mungu akupe mume wa kufanana nawe.

Mweleze hizo weakness zake mpe muda wa kujirekebisha,asipojitambua achana nae.
Kikubwa rudi kwa muumba wako tubu kwa nadhiri na vifyungo vyote ulivyowahi wekeana na huyo mpenzi ili mungu akutengenezee njia ya wewe kupata mwenzi wa kuendana nawe, usisahau hatua muhimu za kupata mume huanza katika urafiki mwema, uchumba,mapenzi ndoa takatifu.
 
Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiittttt..................
 
Tafuta namna ya kumsimanga na kumnyanyasa sana walao apate hasira, mwanaume tena mfanyakazi at 34Years anayemuomba mdada hela leave alone mama yake hela.. This is too much.

Yawezekana mama yake anahusika sana kumfanya mwanaye jinsi alivyo kulingana na malezi yake.
 
duuuuh, ananuna?? mchunguze vizur isije ikawa hajakamilika uanaume wake huyo!!

bythe way, hapo kuna kitu ''mapenzi'' alafu kuna ''kipato'' na elimu ndani yake!!

;;;;;;tafakari chukua hatua;;;;;;;;
 
pole sana dada, ikiwa nafsi yako inakufanya umuone hutaweza kufanya nae maisha kwa kigezo au vigezo ulivosema ni bora uachane nae mapema ili usje ishi kwa maumivuuuuu, usitegemee kumbadilisha mtu mkiwa tayari ndoani,ni wanaume wachache sana hubadilika kwa uweza wa mungu mwenyezi,wengi huzidi kuwa matatizo,sasa bora uyaache mapema utulie ukimsihi mungu akupe mume wa kufanana nawe.

Mweleze hizo weakness zake mpe muda wa kujirekebisha,asipojitambua achana nae.
Kikubwa rudi kwa muumba wako tubu kwa nadhiri na vifyungo vyote ulivyowahi wekeana na huyo mpenzi ili mungu akutengenezee njia ya wewe kupata mwenzi wa kuendana nawe, usisahau hatua muhimu za kupata mume huanza katika urafiki mwema, uchumba,mapenzi ndoa takatifu.

ok asante
 
duuuuh, ananuna?? mchunguze vizur isije ikawa hajakamilika uanaume wake huyo!!

bythe way, hapo kuna kitu ''mapenzi'' alafu kuna ''kipato'' na elimu ndani yake!!

;;;;;;tafakari chukua hatua;;;;;;;;

mh fafanua mapenzi na kipato cjakuelewa
 
Hali zenu wana Jamii forum naombeni ushauri wenu,

Mimi ni msichana wa miaka 28 nina degree Bcom,boyfriend wangu ana miaka 34 ni mwalimu serikalini.tulipoanza uhusiano nilikua mpweke tukaingia kwenye mahusiano,yeye kutokana na umri kwenda anatafuta mtu wa kuoa.

Huwa anagusia kuhusu ndoa mi namwambia kwanza ajiandae kimaisha either asome afikishe level ya degree au kama ana njia mbadala ya maisha, cause kama mimi sina kazi ni ngumu kuishi kwa kutegemea mshahara wake nikajipa mahope mayb nitulie nae ipo tu siku atawini maisha kila siku namkazania asome au abadili kazi navyomuona mwenzangu hana haraka ya kukazana kimaisha.

Kinachoniboa hua ananiomba hela ya matumizi wakati mwengine hadi nauli anaomba,sim yake katupa anatumia yangu na aliniambia sometimes anapandaga daladala bila nauli,jamani mtu gani wa kuanza nae maisha huyu? Natamani nimuache ila ntaanzia wapi,kumpenda nampenda ila maisha yanamshinda hua anamuombaga hadi mama yake ela, msinitukane mnishauri.alafu ana wivu mpaka nakosa amani akipiga simu nisipopokea kanuna
.

Samahani kwa swali, kwahiyo yeye huo mshahara wake huwa anauweka wapi? plz nijibu kwanza
 
huo ni mzigo hapo mnatengeneza chain of poverty , mtaoana mkiwa masikini,mtazaa watoto masikini na wajukuu watakuwa masikini
 
[piga chini huyo, huu habebeki hata kwa punda, umri huo bado hajui maisha yakoje? Atakipa umasikini huyo.
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

Catalyya;
Nakuonea huruma sana. Mapenzi yako kwa huyu mtu yamekumaliza kabisa. Unakataa kukubali kuwa kuna kitu kinacho kushikiza kwake. Angalia kasoro ulizotupa hapa kuwa umeziona kwake; 1. Umemzidi kielimu na ukimshauri aongeze kisomo hataki. 2. Hajiwezi hata kukununulia zawadi yeyote kwani hakuna siku utamkuta na mia ndo maana anaomba kwako na kwa mamake. 3. Mbaya zaidi ni chapombe.
Nikuulize swali la kizushi tu; Unakiu ya kuolewa? Kama ni ili kusudi watu waseme wewe ni Mrs. wa flani, leo usiku chukua vyombo vyako hamia kwake. Asubuhi ukiamka msalimie ma mkwe umwambie umekuja nyumbani. Harusi tayari hiyo.
Ila kama unahitaji mume wa kukuinua maishani na muishi kwa mafanikio, huyu hakufai. Usijaze seva hapa jf
 
Unalea Maradhi,Na Akishakuoa Usidhani Atabadilika It's Either Uamue Sasa Or Never...
Uamuzi Ni Wako.
 
Catalyya;
Nakuonea huruma sana. Mapenzi yako kwa huyu mtu yamekumaliza kabisa. Unakataa kukubali kuwa kuna kitu kinacho kushikiza kwake. Angalia kasoro ulizotupa hapa kuwa umeziona kwake; 1. Umemzidi kielimu na ukimshauri aongeze kisomo hataki. 2. Hajiwezi hata kukununulia zawadi yeyote kwani hakuna siku utamkuta na mia ndo maana anaomba kwako na kwa mamake. 3. Mbaya zaidi ni chapombe.
Nikuulize swali la kizushi tu; Unakiu ya kuolewa? Kama ni ili kusudi watu waseme wewe ni Mrs. wa flani, leo usiku chukua vyombo vyako hamia kwake. Asubuhi ukiamka msalimie ma mkwe umwambie umekuja nyumbani. Harusi tayari hiyo.
Ila kama unahitaji mume wa kukuinua maishani na muishi kwa mafanikio, huyu hakufai. Usijaze seva hapa jf

sawa asante
 
Hali zenu wana Jamii forum naombeni ushauri wenu,

Mimi ni msichana wa miaka 28 nina degree Bcom,boyfriend wangu ana miaka 34 ni mwalimu serikalini.tulipoanza uhusiano nilikua mpweke tukaingia kwenye mahusiano,yeye kutokana na umri kwenda anatafuta mtu wa kuoa.

Huwa anagusia kuhusu ndoa mi namwambia kwanza ajiandae kimaisha either asome afikishe level ya degree au kama ana njia mbadala ya maisha, cause kama mimi sina kazi ni ngumu kuishi kwa kutegemea mshahara wake nikajipa mahope mayb nitulie nae ipo tu siku atawini maisha kila siku namkazania asome au abadili kazi navyomuona mwenzangu hana haraka ya kukazana kimaisha.

Kinachoniboa hua ananiomba hela ya matumizi wakati mwengine hadi nauli anaomba,sim yake katupa anatumia yangu na aliniambia sometimes anapandaga daladala bila nauli,jamani mtu gani wa kuanza nae maisha huyu? Natamani nimuache ila ntaanzia wapi,kumpenda nampenda ila maisha yanamshinda hua anamuombaga hadi mama yake ela, msinitukane mnishauri.alafu ana wivu mpaka nakosa amani akipiga simu nisipopokea kanuna
.

Uvi unataka umuache or unataka kutatua tatizo?
 
mi nakwambia maisha ni kuchagua na uchaguzi unafanyika ukiwa kijana kama ivi.. sasa kazi kwako angalia huyo unauemchagua je siyo majanga baadae??... maisha ni yako na wewe ndo unajua tam na chungu. sikiliza moyo wako na uamue kwa usahihi. pole sana.
 
Maelezo yako hayajajitosheleza mshahara anaopata unaenda wapi? kama wote anakupa wewe kwanini asikuombe,muda mwingine wewe unatakiwa uwe na akili yakujiongeza kwa huyo mpenzi wako jinsi gani umfanye awe bora kama wanaume wengine siku zote tabia hubadilishwa na mtu na mtu mwenyewe niwewe wakumbadili

Best unasemaaaaaaaaa??????
 
Back
Top Bottom