Boyfriend ananitegemea

Boyfriend ananitegemea

This guy sounds like someone I used to know. Huwa hawabadiliki hao watu wa hivyo.. hata akifika 47 atakuwa hivyo hivyo... pole sana.

Mpe muda kama habadiliki tupa kule.

Ila kama wewe ni mtu wa sala jifungie, piga goti, mlilie Muumba wako kwake hakuna lisilowezekana.

hahahah type hyo ya watu n shida they dont change no matter what mamake kamshndwa utamueza wew
 
walmu wanapondwa jamanii.... 400take home haitosh unatk nin we bibyee, hay iyo bcom yako inkuingzia bei gan, sio muhasb wakanisa kweel wewee na kabcom kako
 
Pole sasa dada, ni changamoto za maisha.Lakini wangu naomba tuangalie point kadhaa
(a) umesema huna kazi na upande mwingine unatwambia huwa anakuomba hela ya matumizi, mpaka na simu kachukua..hiyo hela we unaitoa wapi..unaomba omba kama yeye? if so tofauti yenu iko wapi? ooh nisamehe we ni mwanamke una haki ya "kuomba omba"

(b)anapandaga daladala bila nauli: unaamini katika hilo?..mmiliki wa daladala ni mjombake au?

(c). anamuomba hadi mamake hela..some families have been built to support each other in thru good and bad times...simsupport jamaa yako kujiendekeza lakini kama umetamka kumuomba mama hela kama kitu unthinkable, umekosea

(d) akipiga simi usipopokea unakuwa na udhuru gani? Bahati nzuri wanawake mnajulikana kwa matumizi ya simu..its like second skin to you..dakika kumi nyingi lazima utakuwa umeishaiangalia simu yako..kama anapiga hupokei na baada ya masaa matatu ndo unakuja na "honey ndo nimeona missed cal" jamaa ana haki ya kukufikiria vibaya

(e) msichana wa miaka 28..my dear msichana kwa jinsia sawa..kwa umri wewe ni mwanamke.

(f) yeye kutokana na umri kwenda...unadhani kuna tofauti yoyote kati ya mwanamme mwenye miaka 34 ambaye hajaoa na mwanamke mwenye miaka 28 ambaye hajaolewa? hebu fikiria tena..miaka 2 ijayo utakuwa past marrying age!!!

Umemsoma na umemuelewa
 
Hakuna kitu kinakera kama mwanaume mvivu, asiyejua anaenda wapi na katoka wapi.
Haki sawa means meeting half way sio kumuomba mwanamke nauli au pesa za matumizi kila mara thats below border line.
Na 34??
Said this once "wanawake huwa tunadhani sisi ni miungu watu yani tunaeza mbadilisha mtu, we have faith that if mountains could speak then ingeimba hail women!!!
A person can only change when he or she decides to..34 kha
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe

Duuh! Ila wanawake mnapendaga vibaya kwel! Yaan amewahi kukununulia soda tu basi na bado una mategemeo ya kuishi nae! Au mahusiano yako na mamaake ndio yanayokujengea imani juu yake? Kwa maoni yangu huyo hakufikirii katka maisha yake, anakutumia tu kwa manufaa yake mwenyewe!
 
Hali zenu wana Jamii forum naombeni ushauri wenu,

Mimi ni msichana wa miaka 28 nina degree Bcom,boyfriend wangu ana miaka 34 ni mwalimu serikalini.tulipoanza uhusiano nilikua mpweke tukaingia kwenye mahusiano,yeye kutokana na umri kwenda anatafuta mtu wa kuoa.

Huwa anagusia kuhusu ndoa mi namwambia kwanza ajiandae kimaisha either asome afikishe level ya degree au kama ana njia mbadala ya maisha, cause kama mimi sina kazi ni ngumu kuishi kwa kutegemea mshahara wake nikajipa mahope mayb nitulie nae ipo tu siku atawini maisha kila siku namkazania asome au abadili kazi navyomuona mwenzangu hana haraka ya kukazana kimaisha.

Kinachoniboa hua ananiomba hela ya matumizi wakati mwengine hadi nauli anaomba,sim yake katupa anatumia yangu na aliniambia sometimes anapandaga daladala bila nauli,jamani mtu gani wa kuanza nae maisha huyu? Natamani nimuache ila ntaanzia wapi,kumpenda nampenda ila maisha yanamshinda hua anamuombaga hadi mama yake ela, msinitukane mnishauri.alafu ana wivu mpaka nakosa amani akipiga simu nisipopokea kanuna
.

Mbona sisi huwa tunawapa matumizi, tunawapenda japo wengi wenu tumewazidi kielimu, kiuchumi na kifikrapia lakini tunawaheshimu sana wala hatuzungumzi chochote juu yenu. Kwa nini ninyi mkimzidi/ukimzidi mpenzi/mumeo kiuchumi au kielimu mnachonga sana?
 
Ndo maana wanaume wengi watoka chuo kikuu anaenda kuoa form four mwenye division four au zero
 
Ndo maana wanaume wengi watoka chuo kikuu anaenda kuoa form four mwenye division four au zero
 
dah kama vile nakuona miaka 10 ijayo utakavyokua unajua!!! HaPO una watoto kodi Kula kuvaa.....
mwanaume asiyejua majukumu yake na asiyejali kama huyu kuendelea nae mmmh mamy
 
dah kama vile nakuona miaka 10 ijayo utakavyokua unajuta!!! HaPO una watoto kodi Kula kuvaa.....
mwanaume asiyejua majukumu yake na asiyejali kama huyu kuendelea nae mmmh mamy
 
Huyo atakuwa anajisifia kwa wenzake kuwa demu wake kafa kaoza kwa mapenzi mazito anayotoa. Hawezi kubadilika huyo.
 
Hajawai kunipa ata sent tano zaidi ya kuninunulia soda,ni mkorofi nimejaribu kumbadilisha nimeshindwa labda nikuletee wewe ujaribu.anasema hua anaspend na rafiki zake zaidi navyomjua ni chapombe[/QUOT
 
let me see if u mean it!!
by the way long time hujaonekana mkubwa!!
i mean it a little.. hahahaa!
kaka tumepoteana sana, mishe za maghorofani zinatuweka busy sana!

si unajua tena taifa bila kujengwa halitoendelea?
 
Yeye Angekua Na Kazi Wewe Husingemtegemea?

tatzo wanawake wamezoea viti maaalam.,...dushelele c unapata kwa kiwango......ndo mshahara huo ila kama vp mweleze ukwel co kuja xumbua uku akat ukute daily makande ka kulee miliman
 
kazi ya wawili ni kushauriana mshauri usikate tamaa utafanikiwa hyo ndo mumeo
 
Back
Top Bottom