Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Ni utani wa kwaida sana huo. Kama ungekuwa na akili za kujiongeza mngefikia mpaka kweneye "Sex chat". Inaonekana hujui kudeka, unachukulia vitu "Serious" sana. Utapa shida sana.
a man beyond the keyboard!!big up sana,ukitake kila kitu serious utapata shida sana