Boyfriend ana majibu ya dharau

Boyfriend ana majibu ya dharau

Ila papuchi asili yake kunuka kama haitunzwi vyema. Kwa nini uainchukue mimi ili niwe naisifia kuwa inanukia
 
Habari wana JF,

Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa.

Nikamkaribisha akaja tukapiga story na akasema hana kazi anatafuta ajira. Basi nikaona nisimuache eti kisa hana kazi nikamuambia nitamsaidia kutafuta kazi, kwahiyo nikawa kila nikifika ofisini naingia kwenye mtandao natafuta matangazo ya ajira ya proffession yake then naprint nampa ana apply.

Lakin siku moja nilimuomba anionyeshe anapoishi ili nipafahamu maana yeye tayari anapafahamu ninapoishi ila alikua mkali na kudai eti anaishi kwao wakati ni mtu mzima na aliwahi kuniambia hana ndugu maeneo haya, nikapotezea. Siku moja tukawa tunachati usiku akaniambia anataka kuoga nimuache aoge then tuendelee kuchart.

Nikamtania kuwa asioge mbona mimi huwa siogi, loooooh alichonijibu ndo kimefanya niandike hii thread, alinijibu..'acha kuoga unuke naniliu' nikamwambia hii hua hainuki ni orijino from Germany akaniambia 'hainuki eee hebu jitie kidole unuse mshenzi wewe' nilisikia kuzimia maana hata hatujawahi kufanya mapenzi sasa amejuaje kunuka kwangu, nliamua kukata mawasiliano naye lakini eti anaomba msamaha eti alikua ananitania, utani gani jamani huo.

Hebu nisaidieni mawazo kama anafaa kusamehewa

jifunze kauli za kuongea na mtu hasa ambae unakutana nae kwa mara ya kwanza maana si kila mtu anapenda utani saaana.na si kila asiyependa utani ni kuwa hafai.ila ujifunze kitu tafuta mtu mnaefanana nae
 
Hakuna kitu kibaya kama kumsaidia mtu akiwa na shida...Kuna dada mmoja alikuwa na boyfriend, huyo jamaa alikuwa na matatizo ya Figo. Yule dada akamtolea Figo moja baada ya jamaa kupona akaja kuoa mwanamke mwingine.
 
kubabeeeeeki! kweli kufa kufaana hata shetani mwenyewe anaona aibu hiyo kha
 
Mhhhh! Wapenzi hutaniana sana mpaka kwenye papuchi na mgegedo, lakini huu si utani bali alikudhalilisha. Kupendana ni pamoja na kuheshimiana hata kama mnataniana wote mnajua mipaka ya matani yenu siyo unaropoka tu kama uko shimino Kariakoo kule kwa makuli. Pole zako hafai huyo wala usiunganishe tena mawasiliano naye, watoto wa MUJINI wanasema IMEKURA KWAKE.
 
utazunguka mwisho utaona huyo anauafadhali. sijui kama ungekutana na Mkulya
 
Niggah needs to be forgiven as he seeks for it
 
hahahahahhh embu tia kidole kwanza then unuse kama haina smell usimsamehe kama ina ka weird smell kokote msamehe kaka wa watu tu.
 
Sioni tatizo hapo coz umejitania kuwa sometimes huwa huogi nae kaendeleza kautani kuwa utanuka papuchi....ni mambo ya kawaida hayo ningeona ni mwehu kama ange provoke mwenyewe kuwa hauogi na unanuka papuchi ila kwasababu ni katika hali ya utani na haunuki sioni tatizo..ubaya ni pale ambapo unanuka alafu jamaa katania moja kwa moja lazima utajihisi
 
Habari wana JF,

Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa.

Nikamkaribisha akaja tukapiga story na akasema hana kazi anatafuta ajira. Basi nikaona nisimuache eti kisa hana kazi nikamuambia nitamsaidia kutafuta kazi, kwahiyo nikawa kila nikifika ofisini naingia kwenye mtandao natafuta matangazo ya ajira ya proffession yake then naprint nampa ana apply.

Lakin siku moja nilimuomba anionyeshe anapoishi ili nipafahamu maana yeye tayari anapafahamu ninapoishi ila alikua mkali na kudai eti anaishi kwao wakati ni mtu mzima na aliwahi kuniambia hana ndugu maeneo haya, nikapotezea. Siku moja tukawa tunachati usiku akaniambia anataka kuoga nimuache aoge then tuendelee kuchart.

Nikamtania kuwa asioge mbona mimi huwa siogi, loooooh alichonijibu ndo kimefanya niandike hii thread, alinijibu..'acha kuoga unuke naniliu' nikamwambia hii hua hainuki ni orijino from Germany akaniambia 'hainuki eee hebu jitie kidole unuse mshenzi wewe' nilisikia kuzimia maana hata hatujawahi kufanya mapenzi sasa amejuaje kunuka kwangu, nliamua kukata mawasiliano naye lakini eti anaomba msamaha eti alikua ananitania, utani gani jamani huo.

Hebu nisaidieni mawazo kama anafaa kusamehewa

kitendo cha kukuita mshenzi kinaonesha huyo kijana ni mhuni ama mtoto wa mjini, atakusumbua sana, japo najua ushauri wangu hutaujali.
 
"mrembo wa kike"!! Hi inaimply kuna warembo wa kiume pia, ati???
Neno ni jinsi utakavyolitafsiri, ukiona yakupendeza kuwe na mrembo wa kiume na iwe hivyo ila sio maneno yangu, ni maneno yangu, tafsiri itakavyokupendeza wewe
 
Huyo mtu wako ana viashiria ambavyo Utakuja kujuta mbele ya safari. Tukiacha hilo la kunuka papuchi, huyo "mpenzi wako to be" anaonekana ni muongo kulingana na maelezo uliyotoa
 
Aysee siku hizi single ya mda mrefu ni miezi 9? Duh...mimi ninamwaka wa 5 huu na sijapata hata tuzo!

Nionavyo mimi jamaa ni noma kashindwa hata kuigiza mbaya zaidi hata papuchi hajaigegeda? Karopoka hayo je akikuta mabwawa yasio na nishati?
 
tupaa kuleeeeee.....kwani mjini huwezi ishi mpaka yeye?? heshima kwa mama na debe la unga tu! Acha kuendekeza upumbavu kama anakupenda atakuheshimu
 
Nionavyo mimi hapo issue sio kusamehewa au la, suala ni kuwa mpo incompatible, u r sensitive, he is not. Being sensitive sio lazima iwe kitu kibaya, ina maana wewe una jali zaidi kwa mfano majibu yako yataleta hisia gani kwa mwenzio wakati yeye hajali. He talks and thinks about what he said later. Wewe ni probably vice versa. Sasa kitakachokuja kusumbua hapo kwa mtu wa aina hiyo ni kwamba atakuja kukujibu majibu mabaya sana wakati mmegombana au hata mkitaniana. Wewe u will be hurt na atakwambia "una mind vitu vidogo sana"! Utaumia sana. Tafakari. Ingekuwa mimi nisingeweza mdate mtu kama huyo anayeweza kukutukania pichu wakati hajaivua. God forbid na akikita kuna matatizo si ndo ataweka ubaoni watu wasome tangazo?
 
Ukishanambia mshenzi tu...kibuti kinakuhusu. My dear the guy is not of your class, tuliza moyo na akili utampata your soul mate mwayaa. Pole

ushauri huu sio mzuri. Kama ameomba msamaha mwache amsamehe.
 
Habari wana JF,

Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa.

Nikamkaribisha akaja tukapiga story na akasema hana kazi anatafuta ajira. Basi nikaona nisimuache eti kisa hana kazi nikamuambia nitamsaidia kutafuta kazi, kwahiyo nikawa kila nikifika ofisini naingia kwenye mtandao natafuta matangazo ya ajira ya proffession yake then naprint nampa ana apply.

Lakin siku moja nilimuomba anionyeshe anapoishi ili nipafahamu maana yeye tayari anapafahamu ninapoishi ila alikua mkali na kudai eti anaishi kwao wakati ni mtu mzima na aliwahi kuniambia hana ndugu maeneo haya, nikapotezea. Siku moja tukawa tunachati usiku akaniambia anataka kuoga nimuache aoge then tuendelee kuchart.

Nikamtania kuwa asioge mbona mimi huwa siogi, loooooh alichonijibu ndo kimefanya niandike hii thread, alinijibu..'acha kuoga unuke naniliu' nikamwambia hii hua hainuki ni orijino from Germany akaniambia 'hainuki eee hebu jitie kidole unuse mshenzi wewe' nilisikia kuzimia maana hata hatujawahi kufanya mapenzi sasa amejuaje kunuka kwangu, nliamua kukata mawasiliano naye lakini eti anaomba msamaha eti alikua ananitania, utani gani jamani huo.

Hebu nisaidieni mawazo kama anafaa kusamehewa

Trust me huyu kijana hakufai kabisa kabisa....! Atakuja kukusumbua sana achana nae bado hajawa mkubwa.....!
 
Aysee siku hizi single ya mda mrefu ni miezi 9? Duh...mimi ninamwaka wa 5 huu na sijapata hata tuzo!

Nionavyo mimi jamaa ni noma kashindwa hata kuigiza mbaya zaidi hata papuchi hajaigegeda? Karopoka hayo je akikuta mabwawa yasio na nishati?

Mkuu umenichekesha sana tena sana.....! Unastahili tunzo!
 
Back
Top Bottom