Huyo ni mpuuzi na yuko immature, vile vile hakuheshimu. Mpotezee na usimtafute tena, hastahili hisia zako. In the future hujui atakachoweza kukufanyia.
Ulishawahi kumruhusu kuingiza kidole huko kwenye hiyo kitu ya mjerumani? Nahisi atakuwa amesikia na kuona taarifa za tatizo la uchafu au kunuka kwa baadhi ya wanawake na yeye labda linamkera, pia linawezekana hakuwa kwenye mood nzuri wkt anakujibu hivyo, si unajua stress za kukosa kazi! Kupishana kauli za kuchukiza namna hiyo au zaidi ya hiyo ni kawaida ktk mapenzi.
me mbona nawaambiaga ukweli madem zangu kama inanuka....nikimaliza gem lazima nikwambie kama tam au mbovu au inanuka ili ujirekebishe...ila we unaonekana imekuuma na hupend ukweli
Kosa lake huyo ni hayupo Romantic bas!! hapo ndio mlipopishana, ukiwa unataka utan wa kimapenz mwenzio akakuambia maneno ya kukerehesha, inakasirisha kweli. Ila msamehe tu mweleze next tym unahitaji nn mkitaniana.. Ili aepuke kukupa maneno ya karaha!! Mshenz kwel wa tabia km alizoea zinazonuka anadhan zote zinanuka!!
Kwa muda mfupi tu anaonekana ana maneno ya shombo je mkimaliza mwaka c atakutuniku kila aina ya matusi kwasababu jasiri haachi asili ila kama waweza vumulia maneno yake endelea kuweka limoyo lako hapohapo
Mi sioni kama jamaa kakutukana.. we si umesema huogagi? Na jamaa kakwambia ukweli usipo oga lazima mbunye inuke!! Eeeh usipo oga lazima mbunye inuke!!! Hyo haijalishi sijui mbunye ni ya japan.. sijui ni ya india
Hajairamba na anaidharau, je akishaitafuna na kuiramba si atakutusi na kukucharaza..huyo si wa kukufurahisha ni balaa tupu aise..wanaume wapo wengi TZ ikiwa utakosa njoo Kenya mm nipo dada, usikubali kuumizwa
Ni utani wa kwaida sana huo. Kama ungekuwa na akili za kujiongeza mngefikia mpaka kweneye "Sex chat". Inaonekana hujui kudeka, unachukulia vitu "Serious" sana. Utapa shida sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.