Boyfriend ana majibu ya dharau

Boyfriend ana majibu ya dharau

Habari wana JF,

Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa.

Nikamkaribisha akaja tukapiga story na akasema hana kazi anatafuta ajira. Basi nikaona nisimuache eti kisa hana kazi nikamuambia nitamsaidia kutafuta kazi, kwahiyo nikawa kila nikifika ofisini naingia kwenye mtandao natafuta matangazo ya ajira ya proffession yake then naprint nampa ana apply.

Lakin siku moja nilimuomba anionyeshe anapoishi ili nipafahamu maana yeye tayari anapafahamu ninapoishi ila alikua mkali na kudai eti anaishi kwao wakati ni mtu mzima na aliwahi kuniambia hana ndugu maeneo haya, nikapotezea. Siku moja tukawa tunachati usiku akaniambia anataka kuoga nimuache aoge then tuendelee kuchart.

Nikamtania kuwa asioge mbona mimi huwa siogi, loooooh alichonijibu ndo kimefanya niandike hii thread, alinijibu..acha kuoga unuke naniliu' nikamwambia hii hua hainuki ni orijino from Germany akaniambia 'hainuki eee hebu jitie kidole unuse mshenzi wewe nilisikia kuzimia maana hata hatujawahi kufanya mapenzi sasa amejuaje kunuka kwangu, nliamua kukata mawasiliano naye lakini eti anaomba msamaha eti alikua ananitania, utani gani jamani huo.

Hebu nisaidieni mawazo kama anafaa kusamehewa

Kuna ukweli wowote ktk hayo maneno ya blue mkuu?? I mean ni kweli hiyo hali ipo?
 
Kutokuoga ni ushenzi, na ndicho alichorejelea katika kauli yake. Hivyo ni utani tu wa kimapenzi wewe ndio hujui kupambanua kifasihi.
 
Moyoni ni kweli unampenda au ulitaka kum-provoke ili akukatie tiketi ya utengano?Unadai hana ajira na anaishi kwao....Je umechunguza kama ni kweli?Mapenzi ni maisha hayajaribiwi na ujitahidi kuwa mdadisi mkuu.
 
Achana naye kabisa huyo hakuvai hata kidogo.muombe Mungu atakupatia wako anayekuvaa kwa muda na wakati utakapofika.:angry::angry::angry:
 
Dharau iko wap katumia uhuru wake wq kujielezq freedom of spaechi
 
Ivi ni nini kinachosababisha zinuke, ni ugonjwa, fukuto au uchafu tu wa baadhi ya wanawake? Maana mi nishakutana na sample za namna iyo
 
Ivi ni nini kinachosababisha zinuke, ni ugonjwa, fukuto au uchafu wa tu wa baadhi ya wanawake? Maana mi nishakutana na sample za namna iyo
 
Back
Top Bottom