Boyfriend ana majibu ya dharau

Boyfriend ana majibu ya dharau

Joined
Apr 28, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Habari wana JF,

Nimekuwa single kwa muda mrefu sana kama miezi 9 hivi, lakini hivi karibuni nilikutana na kijana na nikampenda sana baada ya kukaa nae kama wiki mbili tukiwasiliana aliomba aje anitembelee kwangu kwa sababu tusingeweza kukutana bar maana hakuwa na pesa.

Nikamkaribisha akaja tukapiga story na akasema hana kazi anatafuta ajira. Basi nikaona nisimuache eti kisa hana kazi nikamuambia nitamsaidia kutafuta kazi, kwahiyo nikawa kila nikifika ofisini naingia kwenye mtandao natafuta matangazo ya ajira ya proffession yake then naprint nampa ana apply.

Lakin siku moja nilimuomba anionyeshe anapoishi ili nipafahamu maana yeye tayari anapafahamu ninapoishi ila alikua mkali na kudai eti anaishi kwao wakati ni mtu mzima na aliwahi kuniambia hana ndugu maeneo haya, nikapotezea. Siku moja tukawa tunachati usiku akaniambia anataka kuoga nimuache aoge then tuendelee kuchart.

Nikamtania kuwa asioge mbona mimi huwa siogi, loooooh alichonijibu ndo kimefanya niandike hii thread, alinijibu..'acha kuoga unuke naniliu' nikamwambia hii hua hainuki ni orijino from Germany akaniambia 'hainuki eee hebu jitie kidole unuse mshenzi wewe' nilisikia kuzimia maana hata hatujawahi kufanya mapenzi sasa amejuaje kunuka kwangu, nliamua kukata mawasiliano naye lakini eti anaomba msamaha eti alikua ananitania, utani gani jamani huo.

Hebu nisaidieni mawazo kama anafaa kusamehewa
 
Dah msamehe bana alijua na wew utachukulia utani tuu heheh inachekesha sana
 
hahahaah neno la kunuka papuchi linawasumbua sana mabinti walio wengi

wawe wananuka kweli au hawanuki ilimradi tu hawataki kulisikia
 
Kwa mtazamo wangu naona yuko na ww ilimradi tuu kwasaabu umeonyesha kumpenda/kumtaka.
Na ata kama inanuka kwel mtu anekujal haez toa maneno makali namna iyo.he z a jerk.
Kumsamehe msamehe ila si lazma imaanishe muwe wapenzi.forgive and move on.kashakuchukulia ka boya wake huyo.pole sana katlego
 
Last edited by a moderator:
hahahaah neno la kunuka papuchi linawasumbua sana mabinti walio wengi

wawe wananuka kweli au hawanuki ilimradi tu hawataki kulisikia

Wanawake hawapendi kuambiwa ukweli.
 
Katlego Sibeko

ahahaa!!hapana bwana wala usimfikilie vibaya!ni kawaida tu kwa watu wengine kutukana pindi wanapofurahi au wakiwa katika hali ya utani,yaani wala usichukie kabisa mummy hiyo ni kawaida sana tena ni furaha tu ndio imemfanya aseme hivyo wala sio dharau.

Hakuna mkamilifu duniani hivyo wewe lipotezee tu,napenda uwe mvumilivu maana kama neno mshenzi tu limekukwaza je purukushani za kwenye ndoa utahimili mumy??matusi na makofi utayavumilia???kusalitiwa je utavumilia??

Usiwe mwepesi kuhisi vibaya kwa mpenz wako ndugu yangu,mapenz kuvumilia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom