Boxing Day

Boxing Day

kifulambutez

New Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Nimeulizwa na Mwanangu siku ya Boxing Day ina maana gani nikamweleza ni siku ya kufungua zawadi. Akaniuliza tena mbona hapa naona kuna kadi nyingi za Christmas lakini mabox ya zawadi siyaoni... nikaanza kujiuma unajua sio utamaduni wetu tumerithi kutoka kwa wenzetu..na mambo kama hayo...leo wakati napitia magazeti nikakuta Kipanya kakata Boxing Day na kuandika Hang-over day...ebu nisaidieni majibu niliyompa mwanangu yanatosheleza au nilimdanganya..!!!?
 
Back
Top Bottom