Siku zote nipo nawaza huyu kaka wa watu tumsaidieje asije jinyonga? Si unajua sisi wanawake kazi yetu kubwa ni kubembeleza wanaume hasa wakiwa kwenye wakati mgumu kama huu! Baadae ntarudi siwezi mwacha na majonzi haya
Siku zote nipo nawaza huyu kaka wa watu tumsaidieje asije jinyonga? Si unajua sisi wanawake kazi yetu kubwa ni kubembeleza wanaume hasa wakiwa kwenye wakati mgumu kama huu! Baadae ntarudi siwezi mwacha na majonzi haya
Yaani hapo tiba ni muda tu.
Tatizo sasa ni uwezo wa kuvumilia mpaka hiyo dozi ya muda ikamilike.
Ni moja kati ya experience mbaya kabisa katika maisha yangu. Asante Mungu nimevuka salama bila kufanya hata kimoja kati ya vitu vibaya na vya ajabu nilivyovifikiria kipindi hicho.
DUUH, POLENI!!!, ila umeimalizia mchana, halafu hiyo tuxedo yako ni rangi gani?.@Uso wa nyoka , @Daudi Mchambuzi , @mwekundu , @Born2xhine, @Raimundo, @Moisemusajiografii ,@jakichanii, @kijani11 ,@Molembe , @luckyline , @Zamiluni Zamiluni , @kkenzki , @chickmaget , @isambe , @kacnia, @gstar, @qmansome , @mtelewaedson , @upendodaima , @boniface salim, @little hulk
Jana Jamiiforums haikuwa hewani bwana,
Haya nshamalizia.
DUUH, POLENI!!!, ila umeimalizia mchana, halafu hiyo tuxedo yako ni rangi gani?.
Kiuno size ngapi?Nyeusi
Kiuno size ngapi?
Yaani hapo tiba ni muda tu.
Tatizo sasa ni uwezo wa kuvumilia mpaka hiyo dozi ya muda ikamilike.
Ni moja kati ya experience mbaya kabisa katika maisha yangu. Asante Mungu nimevuka salama bila kufanya hata kimoja kati ya vitu vibaya na vya ajabu nilivyyovifikiria kipindi hicho.
Mkuu wangu hii post umeikuta wapi??
Nilikuwa naifuatilia kila Mara nijue mwisho wake ulikuwaje?Mkuu wangu hii post umeikuta wapi??
Vipi wazee walifanikiwa kusuluhisha?Mkuu wangu hii post umeikuta wapi??
Vipi wazee walifanikiwa kusuluhisha?
Ni story ndefu sana mama,
Njoo PM nikupe mchongo wote.
Uweke hapa hapa dogo tuufaidi wote.
Jamani kwani mimi nimesema wewe ndio wa kwenye story?Unaniita tena dogo?
Duuh haya bwana,
Unajuaje kama kwenye hiyo story ndiyo mimi?