Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Yaani sijui kwanini nimewaza hivyo. Mwanaume hachuji kama mwanamke, kwahiyo hakuna sababu ya kumuonea huruma huyo jamaa.Haaaa why uliwaza ni mimi.
Mie nimemuonea huruma huyo kaka kuliko mwanamke..... yaani duh
Si mbaya,fanya mpango ujiweje kwa huyo kaka,kwanza anaonekana ni muoaji.Haaaa why uliwaza ni mimi.
Mie nimemuonea huruma huyo kaka kuliko mwanamke..... yaani duh
Mimi ndo kakako huyo, so mwambie @Heaven on Earth hatajutia uamuzi wake.Si mbaya,fanya mpango ujiweje kwa huyo kaka,kwanza anaonekana ni muoaji.
Nairudia hii stori mara mbilimbili aisee. Nimejifunza kitu na mtoa thread unajua kusimulia stori.@Uso wa nyoka , @Daudi Mchambuzi , @mwekundu , @Born2xhine, @Raimundo, @Moisemusajiografii ,@jakichanii, @kijani11 ,@Molembe , @luckyline , @Zamiluni Zamiluni , @kkenzki , @chickmaget , @isambe , @kacnia, @gstar, @qmansome , @mtelewaedson , @upendodaima , @boniface salim, @little hulk
Jana Jamiiforums haikuwa hewani bwana,
Haya nshamalizia.
Mkuu umezungumza la msingi sana. Malcom Lumumba story haijaisha, iko katikati. Hao wazee walioenda huko itabidi utueleze kilichojiri na pia watakaporudi, pamoja na maamuzi yatakayofikiwa baada ya process zote za usulihishi. Mwisho utamalizia kwa yatakauoendelea baina ya hao wahusika wawili wakuu wa hii story baada ya chochote kitakachoafikiwa baada ya usuluhishi.Weee haijaisha hiyo,mpaka utupe mrejesho wa hao wazee walioenda huko kwa kaka yako ndo tutajua imeisha au vp!
Mambo ya kuachana njia panda kamwe hayajawahi kuwa fair.
Si mbaya,fanya mpango ujiweje kwa huyo kaka,kwanza anaonekana ni muoaji.
Haaaaa we machepele mengi... humfikii bwana harusi wa storyMimi ndo kakako huyo, so mwambie @Heaven on Earth hatajutia uamuzi wake.
Najua tulivyo safi sana keep the spirit aliveHaahaaa,
Umejuaje bwana?
Sisi ni Wanyalukolo damu.
Najua tulivyo safi sana keep the spirit aliveHaahaaa,
Umejuaje bwana?
Sisi ni Wanyalukolo damu.
Mkuu yaliwahi kukukuta kama ya huyo jamaa niniKama hujawahi kukutwa na hali hii, unaweza kucheka na kufurahia sana misemo ya msimuliaji, lakini Muombe sana MUNGU, Muombe sana MUNGU, narudia muombe sana MUNGU katika maisha yako ya mapenzi usipatwe na janga hili, ingawa sisi wengine kwa sasa muda umekuwa tiba nzuri, lakini acha kabisa, acha kabisa nakuambia. Ukiweza kuvuka kipindi kama hicho, mshukuru sana MUNGU na jua kwamba MUNGU bado ana sababu na wewe kuwepo hapa duniani. Jamani acheni tu haya mambo.
Hahaha,unakaba ndugu yangu?Unataka hadi nyuma ya ubao?Weee haijaisha hiyo,mpaka utupe mrejesho wa hao wazee walioenda huko kwa kaka yako ndo tutajua imeisha au vp!
Mambo ya kuachana njia panda kamwe hayajawahi kuwa fair.